Adui mkubwa wa mwanamke ni UMRI

Adui mkubwa wa mwanamke ni UMRI

Huo ni ukweli 100%

Wanawake wa JF watakuja kukusuta mana hawapendi kuambiwa ukweli.

Mwanamke akifikisha 27 Huyu n bibi, mbaya zaidi akiwa hana familia au mwanaume wa kueleweka.
 
Umri umefanya Nini kijana?? Kwamba mwanamke akifika 30's hawez pata mahusiano na mtu?
Kuna wanaume ambao hawako interested na vibint under 30 Sasa sijui unaingea vitu Gani bila kutumia bongo

Vitu vingine kabla hujaandika hebu fikiria kwanza maana mnavoandama kuhusu umri utadhan ndo pumzi za watu
Nimeona sijui ni Leo au Jana koff Olomide 69 kamuoa mpenzi wake wa zaman 43
 
Umri wa kuolewa au? Kwani mwanamke huwa anakosaga wa kumtongoza, si wapo wa umri wake? Hata uwe na miaka hamsini hutakosa wa kukutongoza labda uwe ajuza kikongwe na mwili hauna hisia za kufanya mapenzi
Mwanamke akifika menopause nyege zinakata.
 
Sio mwanamke mwenzie tena? Ishachange? Ngachoka
 
Back
Top Bottom