Kukasirika au kutofurahishwa na maneno ya mleta mada haibadilishi ukweli kuwa huo umri ni late marriage stage. Kwa mtu mwenye malengo ya kujenga familia bora na mahusiano serious,miaka 27 amechelewa sana na atarisk sana mahusiano yake.Umri umefanya Nini kijana?? Kwamba mwanamke akifika 30's hawez pata mahusiano na mtu?
Kuna wanaume ambao hawako interested na vibint under 30 Sasa sijui unaingea vitu Gani bila kutumia bongo
Vitu vingine kabla hujaandika hebu fikiria kwanza maana mnavoandama kuhusu umri utadhan ndo pumzi za watu
Nimeona sijui ni Leo au Jana koff Olomide 69 kamuoa mpenzi wake wa zaman 43