Adui mkubwa wa machinga nchini ni CHADEMA

Kuanza mwaka na tabia za kishoga kama mleta mada bas atamaliza kuana shosti kabisa huu mwaka
 
adui namba moja wa machinga ni utawala wa ccm ambao leo wanawafurusha kutoka katikati ya miji,kesho yake wanaamuru warudishwe halafu keshokutwa wanatoa amri wafurushwe tena.
wamewafanya wamachinga kama yale mabulungutu ya pesa waliyoyabeba kwenye mifuko ya sandalusi!
 
Mwendo wa kukana matamko na kukimbia kivuli. Machinga ni kesi ya Baba Fulani. Anaijua asiikimbie.
 
Huwezi kuruhusu biashara zifanyike kiholela.Rais kabugi kuruhusu biashara zifanyike kihohela kwa cheap popularity
 
d88862ac595e3421332ee6d98599fcfc.jpg
Code:

Hivi huu utaratibu wa kutokusoma utaisha lini??
Hv mleta mada umesoma kilichoandikwa kwenye gazet?? Usisome kichwa ukakimbilia kutoa post,
Nimekudharau sana.

Kwa faida ya wengine .
Gazet linaongelea wamachinga wa kisiasa ambao kiufupi wamebainishwa kuwa ni wakuu wa mikoa na wilaya. Ambao ni mzigo kwa taifa . Wapo sehem ambayo hawakupaswa kuwepo . Hao ndio gazet huwaongelea na si wamachinga hawa wa kitaa. Hata kichwa chenyewe hujieleza.

Wamachinga wa kisiasa.
 
Mleta mada ana mtindio wa ubongo.
 
Back
Top Bottom