Adui mkubwa wa machinga nchini ni CHADEMA

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
584
644
d88862ac595e3421332ee6d98599fcfc.jpg
Code:
 
Unataka kusema eti CCM wao wanapenda hali hiyo kwenye picha ya gazeti hilo? Wanapoiona wanajisikia raaaha kwelikweli! Eti wao wanapiga debe kuwa miji yetu iwe hivyo? Kama huna cha kuandika afadhali ukae kimya tu!!
 
Hili gazeti gani mbona silijui?
Alafu hao Chadema wameshika dola gani mpaka waweze kua adui ya wamachinga?
Mengine ni siasa za kimaskini tu.
Fanyeni kazi Mwaka umeanza

Ukiwa na akili ndogo huwezi elewa...nashangaa jamii forum inaitwa forum ya great thinkers wakati huwez fikiri hata kwa urefu wa pua....labda nikueleweshe tu...tena kwa maswali...NI NANI WALIOKUWA WANALALAMIKA MACHINGA WAKITOLEWA KARIAKOO NA MAENEO MENGINE KWA DAR hilo moja pili NANI KWA SASA WANAOTAKA MACHINGA WATOLEWE TENA MAENEO HAYOHAYO AMBAYO MWANZO WALILALAMIKA MACHINGA KUTOLEWA...

SIMPLE NI CHADEMA hilo ni Gazeti la TanzaniaDaima na tunajua huwa wanaandika kwa mrego wa chama gani na mmiliki wake nani...
 
Acha u-Chadema na u-CCM, mitaa ya miji sasa sio kabisa...

Rejea hii

Kwa hiyo?
 
Miji yote nchini imekuwa ni dampo..Kitendo cha machinga kuruhusiwa na Rais miji imekuwa michafu...

Mipango miji haifuatwi tena..Inasikitisha sana
 
Raisi nae atembee kariakoo sio Obama road tu... Tunakereka yaani uchafu njia hazipitiki kwa miguu na magari ni shida bidhaa zimetandazwa kila sehemu. Katika maamuzi yaliyowahi nishangaza kwake
 
Ukitaka kujua Tanzania tuko nyuma kifikra na kimaendeleo ebu jaribu kusoma magazeti ya Uganda.
Hapo ndipo utajua tuko karne ya kumi bado.
Na hata mambo yanayoandikwa humu na jamaa wengine ni ya karne hiyo. Hayana manufaa kwa uma.
Ebu leteni mijadala ya maana kwa watu wetu.
 
hivi,hili gazeti umelisoma lote na kulielewa?
ni wapi walipoandikwa chadema?
mkuu,hivi bado uko 2016?
kuna wanaccm wengine wanatutia aibu makada wengine humu!
nahisia hata hilo gazeti hujalisoma na unaandika kwa hisia!
mods:mada kama hizi zakufuta!
 
Back
Top Bottom