Adsense payments methods

Adsense payments methods

Maana MTU anayeuliza anataka kujua.usimkaripie
Usiogope ndugu... Google adsense ni kampuni ya matangazo inayonilikiwa na google... Kazi yao kubwa ni kufanya digital advertising kupitia websites na blogs mbali mbali...ambapo wamiliki wa blogs na website wenye kutimiza vigezo vyao hutuma maombo na kupewa matangazo.....
 
Usiogope ndugu... Google adsense ni kampuni ya matangazo inayonilikiwa na google... Kazi yao kubwa ni kufanya digital advertising kupitia websites na blogs mbali mbali...ambapo wamiliki wa blogs na website wenye kutimiza vigezo vyao hutuma maombo na kupewa matangazo.....
Mambo si hayo bhana
 
JINSI YA KUPOKEA PESA YAKO KUTOKA ADSENSE
photo.jpg


how-to-earn-money-from-google-adsense.jpg

Habari na karibu katika ukumbi huu maridhawa kwaajili yako , kutokana na maombi ya baadhi ya wasomaji wangu kuhitaji kufahamu jinsi ya kupokea pesa zao kutoka adsense leo nimeonelea wacha tujuzane kuhusu hili, ispokuwa nitaeleza kwa upande wa bank tu hizi njia nyingine tutaelezana wakati mwingine au hata kwa kupitia maoni.

kwanza fahamu jambo muhimu kuwa adsense wanawatumia pesa zao wateja wake kuanzia dola 100, pia ili kujua jinsi ya kurekebisha mambo mpaka pesa yako itumwe kwenye bank akaunti yako lazima ufikishe dola 10 na google watakutumia (PIN) Kupitia sanduku lako la barua ulilojaza wakati unajiunga nao,
PIN2.jpg

mfano wa PIN utakayotumiwa na google
Ukiingia katika akaunti yako ya adsense kama umeshafikisha dola 10 utaona sehemu wanakuomba ujaze PIN yako waliyokutumia , fanya kama walivyokwambia jaza PIN yako kutoka katika barua hio uliokwenda kupokea posta, ukisha jaza nenda sehemu iliyoandikwa payment setting
wire-transfer1.jpg

Hapo katika setiing kuna vipengele vingi ila sisi tutazungumzia kuhusu kujaza data zako za bank basi, bonyeza new form of payment kisha chagua wire transfer to bank account kisha jaza form utakayopewa ila kabla ya kujaza lazima ujue SWIFF za bank yako kwa hiyo lazima uwasiliane na bank yako ila kama unatumia equity swif zao ni hizi ( $ : EQBLTZTZ, na kwa pesa tofauti na $ ni hii, EQBLKENA)
baada ya kujaza form yao hiyo baasi utakuwa umeshamaliza kila kitu pindi pesa yako itakapotumwa utajulishwa kupitia email yako na kama unatumia sim banking utajulishwa na sms kutoka bank

Share na marafiki kama makala hii itakuwa imekusaidia au kama umeipenda Riyadi Bhai hapa fanya kuniachia maoni yako ili nikusaidie zaidi unaweza kunitumia maombi yako kuwa kitu gani nikifafanue kuhusu Adsense kupitia riyadibhai@gmail.com
gardsonpaulo@gmail.com. nimeipenda mkuu
 
Hosted acc, Pin Verified, Dollar 26= 40,000/- Ni pm

Ku-upgrade iwe Non- Hosted= Maelewano.
 
Back
Top Bottom