Adsense payments methods

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,179
852
Habari zenu wakuu.
Naomba msaada wenu wakuu ..

Hivi ni njia gani ambayo ni rahisi kupokea google adsense payments kwa hapa nchini kwetu Tanzania. Au ni njia zipi zinatumika kupokea malipo kutoka google adsense kwa hapa Tanzania...

Naombeni msaada wenu wakuu wenye uzoefu na haya mambo.
 
JINSI YA KUPOKEA PESA YAKO KUTOKA ADSENSE
photo.jpg

how-to-earn-money-from-google-adsense.jpg

Habari na karibu katika ukumbi huu maridhawa kwaajili yako , kutokana na maombi ya baadhi ya wasomaji wangu kuhitaji kufahamu jinsi ya kupokea pesa zao kutoka adsense leo nimeonelea wacha tujuzane kuhusu hili, ispokuwa nitaeleza kwa upande wa bank tu hizi njia nyingine tutaelezana wakati mwingine au hata kwa kupitia maoni.

kwanza fahamu jambo muhimu kuwa adsense wanawatumia pesa zao wateja wake kuanzia dola 100, pia ili kujua jinsi ya kurekebisha mambo mpaka pesa yako itumwe kwenye bank akaunti yako lazima ufikishe dola 10 na google watakutumia (PIN) Kupitia sanduku lako la barua ulilojaza wakati unajiunga nao,
PIN2.jpg

mfano wa PIN utakayotumiwa na google
Ukiingia katika akaunti yako ya adsense kama umeshafikisha dola 10 utaona sehemu wanakuomba ujaze PIN yako waliyokutumia , fanya kama walivyokwambia jaza PIN yako kutoka katika barua hio uliokwenda kupokea posta, ukisha jaza nenda sehemu iliyoandikwa payment setting
wire-transfer1.jpg

Hapo katika setiing kuna vipengele vingi ila sisi tutazungumzia kuhusu kujaza data zako za bank basi, bonyeza new form of payment kisha chagua wire transfer to bank account kisha jaza form utakayopewa ila kabla ya kujaza lazima ujue SWIFF za bank yako kwa hiyo lazima uwasiliane na bank yako ila kama unatumia equity swif zao ni hizi ( $ : EQBLTZTZ, na kwa pesa tofauti na $ ni hii, EQBLKENA)
baada ya kujaza form yao hiyo baasi utakuwa umeshamaliza kila kitu pindi pesa yako itakapotumwa utajulishwa kupitia email yako na kama unatumia sim banking utajulishwa na sms kutoka bank

Share na marafiki kama makala hii itakuwa imekusaidia au kama umeipenda Riyadi Bhai hapa fanya kuniachia maoni yako ili nikusaidie zaidi unaweza kunitumia maombi yako kuwa kitu gani nikifafanue kuhusu Adsense kupitia riyadibhai@gmail.com
 
Hapa TZ kuna njia tatu tu. Ya kwanza ni kwa kutumia Western Union( hii ni njia rahisi kuliko zote haina makato)

Ya pili ni wire transfer na ya tatu ni check unatakayotumiwa kwa posta mail
 
JINSI YA KUPOKEA PESA YAKO KUTOKA ADSENSE
photo.jpg

how-to-earn-money-from-google-adsense.jpg

Habari na karibu katika ukumbi huu maridhawa kwaajili yako , kutokana na maombi ya baadhi ya wasomaji wangu kuhitaji kufahamu jinsi ya kupokea pesa zao kutoka adsense leo nimeonelea wacha tujuzane kuhusu hili, ispokuwa nitaeleza kwa upande wa bank tu hizi njia nyingine tutaelezana wakati mwingine au hata kwa kupitia maoni.

kwanza fahamu jambo muhimu kuwa adsense wanawatumia pesa zao wateja wake kuanzia dola 100, pia ili kujua jinsi ya kurekebisha mambo mpaka pesa yako itumwe kwenye bank akaunti yako lazima ufikishe dola 10 na google watakutumia (PIN) Kupitia sanduku lako la barua ulilojaza wakati unajiunga nao,
PIN2.jpg

mfano wa PIN utakayotumiwa na google
Ukiingia katika akaunti yako ya adsense kama umeshafikisha dola 10 utaona sehemu wanakuomba ujaze PIN yako waliyokutumia , fanya kama walivyokwambia jaza PIN yako kutoka katika barua hio uliokwenda kupokea posta, ukisha jaza nenda sehemu iliyoandikwa payment setting
wire-transfer1.jpg

Hapo katika setiing kuna vipengele vingi ila sisi tutazungumzia kuhusu kujaza data zako za bank basi, bonyeza new form of payment kisha chagua wire transfer to bank account kisha jaza form utakayopewa ila kabla ya kujaza lazima ujue SWIFF za bank yako kwa hiyo lazima uwasiliane na bank yako ila kama unatumia equity swif zao ni hizi ( $ : EQBLTZTZ, na kwa pesa tofauti na $ ni hii, EQBLKENA)
baada ya kujaza form yao hiyo baasi utakuwa umeshamaliza kila kitu pindi pesa yako itakapotumwa utajulishwa kupitia email yako na kama unatumia sim banking utajulishwa na sms kutoka bank

Share na marafiki kama makala hii itakuwa imekusaidia au kama umeipenda Riyadi Bhai hapa fanya kuniachia maoni yako ili nikusaidie zaidi unaweza kunitumia maombi yako kuwa kitu gani nikifafanue kuhusu Adsense kupitia riyadibhai@gmail.com
Shukrani sana mkuuu
 
Back
Top Bottom