Adsense and Admob hiki kitu sielewi

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,411
2,138
Habarini za jioni kwenye account zetu za adsense na admob tumeandikiwa hivi. “Your payout amount is more than your chosen form of payment can accept in your country. To continue getting paid, please choose a new payment method.” Nini maana yake?Naskia hii kitu ni world wide

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
kwa kiswahili

kiwango unachotaka kulipwa ni kikubwa kuliko uwezo wa kupokea pesa kwa njia uliyochagua ndani ya nchi yako,tafadhali chagua njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nimeelewa ila shida ni kwamba previously nilikuwa na uwezo wa kutoa kiwango hata zaidi ya hicho kwa kutumia njia hiyo hiyo sasa leo ndo naona hivyo inabidi niulize

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Habarini za jioni kwenye account zetu za adsense na admob tumeandikiwa hivi. “Your payout amount is more than your chosen form of payment can accept in your country. To continue getting paid, please choose a new payment method.” Nini maana yake?Naskia hii kitu ni world wide

Sent from my iPhone using Tapatalk
Nimekutumia msg inbox chief
 
Sio dunia nzima ni baadhi ya nchi tena chache,, Eg Pakistan, philippines
 
Mimi nimeelewa ila shida ni kwamba previously nilikuwa na uwezo wa kutoa kiwango hata zaidi ya hicho kwa kutumia njia hiyo hiyo sasa leo ndo naona hivyo inabidi niulize

Sent from my iPhone using Tapatalk
kumbe umeelewa!!!Mambo yanabadilika kila siku, ni utaratibu mpya, ni lazima ukubaliane nao, bila pingamizi lolote ,, Good Luck!
 
By the way imebadilika now ipo good nahic ilikuwa glitch
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom