Adolph ritte anatafutwa

Adolph ritte anatafutwa

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,053
Wakuu habarini za majukumu?

Rafiki yangu wa karibu sana amepoteana na huyu ndugu anayeitwa ADOLPH RITTE mwenyeji wa Moshi. Ameniomba nimuwekee tangazo huku JF kwani kwa sasa hana access ya internet. Mhusika (adolph) alimaliza Muzumbe University 2008. Kwa yeyote mwenye taarifa za huyu jamaa namuomba azifikishe PM kwangu tafadhali.

Ninatanguliza shukrani zangu.
 
Bila kujifichaficha ndio mie Adolph Ritte, mwambie mwenzako nipo hapa asema alichoniitia humu.
 
Naona mleta mada kaamua kuwa mjanja isije kuwa jamaa keshaoa, na mkewe yumo humu.... safi...
 
Naona mleta mada kaamua kuwa mjanja isije kuwa jamaa keshaoa, na mkewe yumo humu.... safi...
Tuko hujambo? mbona leo umeamua kuingia kwenye akili za mleta mada kaka yangu? hujaitendea haki avatar yako. Mimi namjua huyu jamaa tuliishi nae mitaa ya juu ya udsm miaka flani ila sijamuona muda kweli
 
Last edited by a moderator:
Tuko hujambo? mbona leo umeamua kuingia kwenye akili za mleta mada kaka yangu? hujaitendea haki avatar yako. Mimi namjua huyu jamaa tuliishi nae mitaa ya juu ya udsm miaka flani ila sijamuona muda kweli
Sijambo mama...
Ni rahisi sana kujua huyu mleta mada ndiye anamtafuta 'kiaina' Adolph... We hujaligundua hilo Mrembo?
 
Sijambo mama...
Ni rahisi sana kujua huyu mleta mada ndiye anamtafuta 'kiaina' Adolph... We hujaligundua hilo Mrembo?

Siku zote kaka 1 + 1 sio lazima iwe mbili...yaweza hata kuwa 11, huwezi kujua akili yake my dia.
 
Back
Top Bottom