Adobe premiere pro vs final cut pro

Adobe premiere pro vs final cut pro

haya wadau wa multmedia uwanja wetu wa kuoneshana viwango huu hapa

Kabla sijaanza ku comment. Comparison zinazotoka na zitakazo toka hapa zitalalia sana kwenye mazoea. Kila mtu atasema software flani ni nzuri kuliko nyingine sababu ameizoea na ni rahisi kwa yeye kuitumia lakini sio kutokana na performance/Results or what that software can do.

Kwa kutumia vigezo vya Product Price, Platform, Performance, Easyness, na Uzoefu katika kuitumia mi naona Fina Cut Pro ni nzuri zaidi.
 
Wengi tunakimbilia Adobe kwa sababu Fina Cut inatumika kwenye Apple computers ambazo ni relatively more expensive
 
Back
Top Bottom