adobe photoshop

adobe photoshop

tzhello

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
114
Reaction score
52
Naombeni msaada wenu wanajamvi,nina programu ya adobe photoshop 7 ila sina elimu nayo kwa wenye kunipa mwanga walao kidogo...
Natanguliza shukrani,


Tz12
 
Nenda kwenye youtube search neno 'adobe photoshop tutorial' then angalia hizo video ziko kibao zitakueleza kila kitu kuhusu photoshop.
Na photoshop zinatofautiana iko c3 mpaka 6 ww hiyo cs unayotumia ndio search mfano anatumia adobe photoshop cs6 andika hivyo ili iwe rahisi kwako kuelewa hizo video.
 
Kama unahitaji kujifunza basics unaweza kutafuta .PDF ebooks ili kujifunza photoshop kama beginner. Then kuna mitandao kama photoshopessentials.com ambayo utaweza kujifunza effects mbalimbali za picha pamoja na texts. Vilevile ni vizuri ukatafuta fonts nzuri online ambazo utatumia katika kujifunza text effects. Mitandao kama dafont.com ina fonts nyingi tu ambazo unaweza kuinstall na kutumia.
 
un install hio software ni ya zamani sana hata ukijifunza ukaijua yote still utakua outdated. tafuta atleast photoshop cs3 kama pc yako ni ndogo au photoshop cs6 kama pc yako ina specs kubwa.
 
Unaona sasa,haya ndio majukwaa tunayopaswa kujivunia, unapata elimu na ushauri wenye kujenga,shukran kwenu wazee Mangare100,Dreamchaser na Chief-Mkwawa, ushauri wenu nimeuzingatia..
 
Back
Top Bottom