Adobe Photoshop Illustrator

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
907
Reaction score
625
Wakuu habari za siku, ni matumaini yangu wazima wa afya.Naombeni msaada kuna images nahitaji kuzifanya zionekane vizuri ili niweze attach kwenye document (Ms Word) nimeambiwa nitumie illustrator.Je nafanyaje ili niweze kukamilisha hiyo kazi.Nawasilisha!![emoji102][emoji101]
 

Bila shaka Umekosea ni PHOTOSHOP ndio inaweza kuchakata images. Adobe Illustrator ni vector based, hakuna feature za kutosha ku Edit image.

KuEdit images tumia Adobe Photoshop au Adobe Fireworks au Macromedia Fireworks
 
Sio swala la maramoja kukufunza hapa kujua kutumia Adobe Photoshop,nakushahuri uingie kwenye mtandao upakue tutorial na waweza pia kuingia YouTube ukaangalia jinsi ya kutumia.
 
Yan Photoshop illustrator[emoji34][emoji34][emoji34] Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…