MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,758
- 6,692
daaah mi sijatumia photoshop 7 muda kidogo, kama unaweza pata kuanzia 8 i mean CS mpk CS5 inakuwa bomba zaidi,Habari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km m2 mwenyew alikuw black kiasi gani! Hii technique inanishinda wajameni! Msaada plz!
kwa adobe AE kuna ka-plug kanaitwa "remove grain".ukikatupia hako na ukawa na technical skills on how to do some proper settingsHabari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km m2 mwenyew alikuw black kiasi gani! Hii technique inanishinda wajameni! Msaada plz!
hio easy hasa kwa bigginer kama wewe,
1. Kwanza badilisha hio photoshop 7 atleast Uwe na cs5
2. Nenda filter click blur click surface blur then adjust mng'ao unaoutaka
3. Ki advance zaidi baada ya picha kukaa vizuri nywele na vitu vya jirani pia vitakua vimepoteza uhalisia kuvirudisha kama zamani ili uache uso tu ndo uwe umebadilika tafuta eraser tool pemben hapo erase blur na uache uso tu unang'aa (wakishua sio)
weka link ya kupata hiyo photoshop cs5