GE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tuna wagombea, Udiwani kila Kata na Ubunge majimbo yote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu, amesema kuwa Chama hicho kinao wagombea Udiwani kwenye Kata zote Tanzania Bara na Zanzibar.

Lakini pia amessema kwamba tayari kwa Zanzibar wameshapata wagombea kwenye majimbo yote ya Zanzibar na Tanzania Bara.

Aidha amesema kwamba kuna Wanachama kutoka Vyama mbalimbali ikiwemo CCM, ambao wameonesha nia kujiunga na ACT Wazalendo, ambapo ameweka wazi kwamba milango ipo wazi katika kuunganisha nguvu.

Shaibu amesema kwamba Chama hicho kinakusudia kuwa na vuguvugu kubwa ambalo litawezesha kukitoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.

Ameyasema hayo kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaoendelea Jijini Dar es salaam leo Agost 6, 2025.
 
Mbona Hasemi Na Idadi Ya Majimbo Na Kata Walizoahidiwa Kupewa?
 
hongereni,
sie kura zetu tunazilinda majumbani kwetu!
mkalinde wenyewe kura zenu vituo vya kura za wizi!
 
Sawa, ngoja mnyooshwe. Samia mwenye hana control ya manyang'au ya CCM.

YAANI HUKO UVCCM WAMEAGIZWA USHINDI NI 98% KWENDA JUU.

Msije kulialia hapa yakiwakuta.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu, amesema kuwa Chama hicho kinao wagombea Udiwani kwenye Kata zote Tanzania Bara na Zanzibar.

Lakini pia amessema kwamba tayari kwa Zanzibar wameshapata wagombea kwenye majimbo yote ya Zanzibar na Tanzania Bara.

Aidha amesema kwamba kuna Wanachama kutoka Vyama mbalimbali ikiwemo CCM, ambao wameonesha nia kujiunga na ACT Wazalendo, ambapo ameweka wazi kwamba milango ipo wazi katika kuunganisha nguvu.

Shaibu amesema kwamba Chama hicho kinakusudia kuwa na vuguvugu kubwa ambalo litawezesha kukitoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.

Ameyasema hayo kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaoendelea Jijini Dar es salaam leo Agost 6, 2025.
Act imekuwa Muslim Brotherhood tawi la Bongo.
 
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuni
noReformsNoElection.PNG
 
Back
Top Bottom