Adhabu za wanajeshi

Akome kabisa
 
Rejea hiyo story yangu kisha mengine jiongeze. Huyo bro wangu alifanya kila ujanja, kilichomtokea hakisimuliki ww.
Jamaa baada ya kwenda kwa viongozi kaongezewa adhabu nyingine.
Haya mambo tuyaache tu
Nani alikuwa na kosa?
 
Huo unakuwa mshamba mkuu. Hawawezi man to man
 
Haujakutana nao kwenye himaya yao aisee nenda kanye kambini pale uonekane unakunya ndio utaeleza vizuri unayoyaeleza, unafikiri wanakusubisha bila sababu
Sasa kunya kambini si ni kosa kisheria? Kwa nini unye kambini?
 
Mungu aniepushe tu maana kiukweli watu tupo tofauti mioyo mimi sipendi kunyanyaswa hasa likija ni suala la fedhea ni bora uniue au unibebe ukaniulie mbali ila hakika hutoninyanyasa na Fedhea juu kisa kosa la kibinadamu tu.
 
Una utu mno kaka. Hongera mno! Hao vijana hawakuonewa bali malezi yao mabovu kutoka kwa mama na baba zao ndiyo yaliyofanya waadhibiwe. Huo haukuwa uonevu.
 
Mim na hiki kichwa changu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu yeyote anayekuonea na kukufedhehesha kwa makusudi, huyo naamini unatakiwa kufa naye kabisa, hatakiwi kusamehewa pasipo kuadhibiwa.
Huwezi amini kuna unafiki mtu anakutendea ubaya unacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…