Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,593
- 23,195
Achana na story za vijiweni, zitakupotezea muda
Kila kitu huwa mnaleta ubishi kujifanya wajuaji kumbe wajinga tu
Achana na story za vijiweni, zitakupotezea muda
Huyo dogo namjua. Nafikiri utakuwa unamwongelea Bellah.Siku moja Wajeda wa Mwenge miaka ya nyuma kidogo walijichanganya kwa kijana mmoja mtu wa mazoezi sana, Alikuwa bado denti lakini mtu wa Mazoezi sana, alikuwa akicheza karate. Dogo anawahi shule, kupiga paper, wakamzingua kwa kumuita ili aende walipokuwa wamekaa, dogo akawaambia anawahi hawezi kwenda. Dogo alipotembea mita kadhaa mbele, Jamaa hawakuridhika, mmoja akamuungia ili amsimamishe amchimbe biti. Jamaa akataka kutumia ubabe, Dogo akaona isiwe tabu, akasimama kiume akazipanga na jamaa, mkono ukapigwa pale. Mjeda ulimi huu. Wakaja wajeda wengine ili kusaidiana na Jamaa, Dogo bado akajisimamia, Mkono ukapigwa pale, Dogo kagoma kuwa kondoo. Mpaka raia wakaanza kusogea. Wakaona isiwe tabu wampeleke ndani kwa mkubwa, dogo akakubali kwenda. Kufika kule Mkubwa akawaona wale Wajeda wendawazimu. Wamefanya Ujinga. Dogo akawachimba biti wale jamaa kuwa hawajamalizana, na yeyote atakayekutana naye kitaa ama zake ama za mjeda, Ugomvi bado haujaisha!. Ilibidi wajeda wake watume watu wa kureconcile na Dogo maana naye ni mtoto wa mitaa ile. Na wajeda sometimes huingia mitaani.
Nguvu ya Wajeda ipo katika Kamandi, na ndani ya formation za kikosi. Kama Ukijipanga vizuri, na unajiamini na ukikataa intimidation za kisaikolojia unaweza kusimama naye man to man na ukamnyoosha vizuri ili aende akaite wenzie.
Mob psychology inawasumbua baadhi ya Wajeda.
Safi sana kwa elimu mujaaarabu!Unachokifanya ni kushangilia ujinga wa kutokujua haki zako, Askari wa jeshi lolote haruhusiwi kukushambulia hata kama umevunja sheria ilimradi tu hujakataa kutii amri ikiwa amekuja kukukamata haruhusiwi kukupiga Wala kukudhalilisha kwa adhabu yoyote chombo kinachotoa adhabu ni mahakama anachotakiwa kukifanya ni kukufikisha mbele ya vyombo vya sheria ili ukahukumiwe kwa kosa ulilofanya kama kweli hilo kosa lipo
Akikwambia chuchumaa/kaa chini we kubali ila akikwambia ruka kichura mwambie siwezi kwasababu za kiafya hapo sasa chochote atakacho kufanya ikiwa ni kukushambulia unaruhusiwa kumshitaki utaratibu wa kushtaki ni uleule
Shambulizi lolote atakalo kufanyia ni kosa kama makosa mengine ya shambulio na unaruhusiwa kufungua kesi dhidi yake na akawajibishwa
Huyo dereva alitakiwa akatae kwanzia amri ya kuambiwa ashukie dirishani kwakua siyo amri halali na ni kinyume na utaratibu kwakua ilikua inahatarisha usalama wake
Yalikua zamani ckuiz watu wanashindana kutoa mijengo na kununua ndinga KaliHivi mambo ya kuonea raia bado yapo
Ova
Kwanza nna hamu nao mie? Hata nikiwaonaga na hayo mavazi yao nahisi baridi,W
Wali kufanyaje jaman tuambie![]()







Basi tyuuh yaanKilikukuta Nini dada?
Kuna mwanadada alikutwa anadinywa kwenye maeneo yao alafu muuni akakimbia yeye akabaki na chupi kavaa mguu mmoja kwa bahati nzuri alikutana na afande wa kike akamkusanyia mchanga kama kilo moja kisha akamwamuru akitawanye kwa ushuzi, So funny pale chini palibaki kipara







Ukitaka kuongelea kuhusu sheria basi kajadili huko kwingine na si kuingia eneo la kazi la mwanajeshi. Ukiona mwanajeshi yupo eneo lake la kazi kaa naye mbali sana, kukitokea msala wowote ule kisa raia wewe kwa ujuaji wako anapewa adhabu mbaya kuliko hizo anazokupa. Hao watu tumeishi nao makambini na kama hana zamu ya majukumu utamwona ni mshkaji wako, akiwa na zamu hata urafiki tulikuwa hatuleti. Kuna mmoja alishawahi kuwapiga kuruti ambao ni washkaji zake sana mateke ya uso kabisa kisa kumletea ujinga akiwa zamu.Wameshindikana kwa lipi?!
Wakati ukimuamulia hasa kwa kuvunja sheria kwake anakupigia magoti!
Unadhani sio Binadamu hao na hawaogopi kudhtakiwa na kumwagwa kazini?!
Tatizo hatujui sheria na Ni waoga kupindukia.. hicho tu!
Kuna mmoja mtaa alihama ..kataka kupanda watu kichwani kisa jw,!
Kama unajua haki zako za msingi basi tambua na haki zake huyo mwanajeshi pia. Usimletee ujinga na wala usikiuke taratibu zao akiwa yupo eneo lake la kazi. Ujuaji wenu utaumia na cha kufanya huna, kama huyo dereva wa lori aliyeziba geti angemfanya huyo MP apewe adhabu mbaya sana na wakubwa zake. Ulitaka amuache?Acha kuwafundisha watu uoga na kukubaliki kunyanyasika wakiwa wananyang'anywa haki zao za msingi. Ukianza huo unyonge utapigwa makofi hata na wadogo zako
Ila kweli jeshini hakuna kujuanaa, nilishuhudia kabisaa,Ukitaka kuongelea kuhusu sheria basi kajadili huko kwingine na si kuingia eneo la kazi la mwanajeshi. Ukiona mwanajeshi yupo eneo lake la kazi kaa naye mbali sana, kukitokea msala wowote ule kisa raia wewe kwa ujuaji wako anapewa adhabu mbaya kuliko hizo anazokupa. Hao watu tumeishi nao makambini na kama hana zamu ya majukumu utamwona ni mshkaji wako, akiwa na zamu hata urafiki tulikuwa hatuleti. Kuna mmoja alishawahi kuwapiga kuruti ambao ni washkaji zake sana mateke ya uso kabisa kisa kumletea ujinga akiwa zamu.
Kama huyo dereva wa lori hapo, kaziba geti na eneo lake la kazi ni hapo getini ulitaka afanywaje? Wakubwa wakitoka je na wana mambo yao, unafikiri kitakachomkuta kinafikia cha huyo dereva alichomfanyia?
SHERIA PELEKA KWENU USICHEZE NA MTU AKIWA KAZINI NA ANATAKIWA KUIFANYIA KAZI HIYO KWA UFANISI. UTAUMIA
Watu hawajui hilo, kama kule ndani linapokuja suala la kazi hawana mambo ya kujuana. Vipi huko raia uje kumletea ujuaji, yaani wale anaweza kukufanya kiti kibaya hata kama mshkaji wakoIla kweli jeshini hakuna kujuanaa, nilishuhudia kabisaa,
Kininicha kwako unakikalia mwenyewe sio?![]()
Tuachane na hayo mpendwa wanguKinini