King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,638
- 68,575
Nimejaribu kupitia hotuba ya baba wa taifa alisema "Tumeamua kua wakali sana na wala rushwa,kwamba ikithibitika mtu amekula rushwa kwamba aliyetoa na aliyopokea wote wanapata adhabu na hatukuwaachia mahakimu peke yao,anaenda ndani miaka miwili na viboko 12 wkt anaingia na 12 akiwa anatoka akamuonyeshe mkewe"
Pia Mh mbatia ameshauri kwamba ikithibitika wamekula rushwa wafukuzwe ubunge na pia waende jela miaka mi5,Sasa sheria zinasemaje kwa wala rushwa,je ni miaka miwili jela au mitano?
Pia Mh mbatia ameshauri kwamba ikithibitika wamekula rushwa wafukuzwe ubunge na pia waende jela miaka mi5,Sasa sheria zinasemaje kwa wala rushwa,je ni miaka miwili jela au mitano?