ADHABU YA VYETI FEKI

M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
4,076
Points
2,000
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
4,076 2,000
Habari wakuu..

Naomba kufahamishwa..anayekutwa na kosa la kusajili kwenye vyuo vikuu cheti feki..
Adhabu yake inakuwaje?
na anaweza kuweka wakili kutokana na aina ya kesi ilivyo?
Na kama alihadaiwa au kushawishiwa hapo inakuaje?
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
41,901
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
41,901 2,000
Umeandaa pesa ya kumlipa wakili??
 

Forum statistics

Threads 1,336,567
Members 512,648
Posts 32,543,498
Top