Thanks Kaunga.....nilidhani labda mi niko tofauti sana na 'general population'!
Kuhusu mchango, I feel its my responsibility (humbled) kwa nimpendaye kumfanya wakati wowote awe na "hamu na mimi"......ndo maana nikashangaa hii ya 'kunyimana' hii inakuwagaje...lol
On a light note, "jamaa" ameacha mapenzi yake ya Boflo na kurudi kwen kitumbua?
Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!
King'asti na Kaunga wamemaliza.....
Wanaume hata mlalamikaje, kwa mwanamke tendo la ndoa si kitandani pekee.... Linaanza toka mnavyoianza siku, unavyomtreat na vionjo vya hapa na pale....kitandani mnahitimisha tu...
Sasa umkere.....au akitaka attention yako wewe upo bar kisa mkeo anaongea sana....au ukirudi wewe ni tafrani thwnnutegemee upewe utamu? Thubutuuuuuu muandae mkeo mapemaaaaaaaaaa ndo maana naimba kila siku humu hakuna kazi ngumu kama kumridhisha mwanamke watu hamuelewi.....
Kuna mwanaume ambae yeye yuko sawa wakati wote, hakosei na hataki kuambiwa. Kuna wanaume wakiona wameharibu wananuna! Wakati mwingine unakuta the same thing mnaongelea kila siku, nani anataka kuitwa vuvuzela? Utageuka wewe vuvuzela baba. Na zingatia, hujanyimwa ila umepoteza ule mvuto. Ni wajibu wako kujirudishia mvuto kabla :A S-heart-2:hayajachacha.:A S 39:
Hehehee, wanaume bana! Afu akirudi anategemea tatizo nalo limelewa pombe. Asubuhi ukiongea anakushangaa. Yaani umemuudhi mwenzio afu unamuachia gap, wakimrubuni kina Erickb52 ndo utabana ngenge.
tupe vifungu bana,kwa mujibu wa sheria ipi ya mwaka gani!manake nataka nikinyima mtu niwe na reference kabisa!
faida au hasara?faida zake:-ukimwi,hawara,watoto wa nje,hakuna mipango maendeleo nyumbani!mwanaume lazima atatafuta poozeo au hgirl
King'asti na Kaunga wamemaliza.....
Wanaume hata mlalamikaje, kwa mwanamke tendo la ndoa si kitandani pekee.... Linaanza toka mnavyoianza siku, unavyomtreat na vionjo vya hapa na pale....kitandani mnahitimisha tu...
Sasa umkere.....au akitaka attention yako wewe upo bar kisa mkeo anaongea sana....au ukirudi wewe ni tafrani thwnnutegemee upewe utamu? Thubutuuuuuu muandae mkeo mapemaaaaaaaaaa ndo maana naimba kila siku humu hakuna kazi ngumu kama kumridhisha mwanamke watu hamuelewi.....
hutaniwi!Kisheria nikosa kubwa mwanamke au mwanaume kunyima mwenza wake unyumba!
*No consumation, no marriage*
ndoa itahesabika ni batili kama kuna kunyimana tendo.
Tena Mwanamme anakuja na "I love you nyingiii" wakati anataka, bila kujua kwamba alishakupotezea mood tangu asubuhi.
Halafu hivi hizo "I love you nyingiii" mbona tunazisikia kitandani tu, wakati dushelele liko wima?
hutaniwi!
ila mi bila hata kujua vifungu vya sheria hakuna kunyimana hapa!kha sasa nimnyime af aende wapi?nyumba ndogo za kujitaftia mi nataka?akhu!
na kwanza kama siko poa mume wangu anatakiwa kujua tu kwa hiyo hata hilo jibu la sijisikii nalo halipo since kwangu mi bado naiona it kinda rejection,wanaondoa wanapaswa wajuane kabisa kuwa leo hapa mambo poa na leo hapa mh!kushnehi yani mtu anakusoma tu,mnapiga story mnalala!au kama uko troubled jamaa au wife akurudishe kabisa kwenye mood af mnakipiga!kimsingi ukikuta wanandoa mnatumia kunyimana kama adhabu ni mmeshindwa kuwasiliana na walahi mnazidi kuongeza tatizo!Kweli kabisa snowhite yani ukinyima una tegemea aende wapi? Bora useme mme wangu leo sijisikii lakini mwingine ana sema kabisa usiniguse!
Ana sahau hiyo si suluhu ya tatizo bali ni kuongeza matatizo kwani ukimnyima atakwenda nje na itakuwa tatizo zaidi.
na kwanza kama siko poa mume wangu anatakiwa kujua tu kwa hiyo hata hilo jibu la sijisikii nalo halipo since kwangu mi bado naiona it kinda rejection,wanaondoa wanapaswa wajuane kabisa kuwa leo hapa mambo poa na leo hapa mh!kushnehi yani mtu anakusoma tu,mnapiga story mnalala!au kama uko troubled jamaa au wife akurudishe kabisa kwenye mood af mnakipiga!kimsingi ukikuta wanandoa mnatumia kunyimana kama adhabu ni mmeshindwa kuwasiliana na walahi mnazidi kuongeza tatizo!
Na hii adhabu ya kunyimana ina tumiwa na wanandoa wengi kama fimbo! Usiwaone watu wana tembea barabarani kumbe wananyimana kila siku na ni tatizo la ndoa za siku hizi.
na kwanza kama siko poa mume wangu anatakiwa kujua tu kwa hiyo hata hilo jibu la sijisikii nalo halipo since kwangu mi bado naiona it kinda rejection,wanaondoa wanapaswa wajuane kabisa kuwa leo hapa mambo poa na leo hapa mh!kushnehi yani mtu anakusoma tu,mnapiga story mnalala!au kama uko troubled jamaa au wife akurudishe kabisa kwenye mood af mnakipiga!kimsingi ukikuta wanandoa mnatumia kunyimana kama adhabu ni mmeshindwa kuwasiliana na walahi mnazidi kuongeza tatizo!
mimi kukunyima sikunyimi na kama kuna issue ni tulijadili mpka liishe,ila lakini hebu turudi nyuma unajua wanandoa wenyewe wanachangia sana hizi habari,hivi kuna haja gani kumpa mtu ambaye haonyeshi kukuhitaji?kuna haja gani kumpa anayekudharau?hapo ndoa kuna shida!lile tendo linataka maandalizi ya kiakili zaid kuliko kimwili,akili ikishakuwa poa mengine yanflow tu!
wanaume kwa wanawake tujifunze kufurahia wenzi wetu wa ndoa!muonyeshe mwenzio ni wa thamani
jali hisia zake hata kama ni hasira
sympathize with him /her
mpe support katika linalomtatiza
confide with each other
ukimya na kuvunja mawasiliano ndoa mwanzo wa kunyimana!
cha kujitaftia kutu za K nn?
dada yangu wa kindoa heshima kwako.Mkuu DC with a wife like gfsonwin na mimi dadake unadhani kuwa baba watoto anaweza kulala njaa?! Nilikuwa nakataa matala but baada ya kuniweka sawa nimeshangaa sana kujua kuwa kumbe ndio mpango mzima! sasa hivi napata hata nafasi ya kuenda vacation na galfriends wangu watoto wakiwa na bi mdogo na baba watoto... hahaha!
na kwanza kama siko poa mume wangu anatakiwa kujua tu kwa hiyo hata hilo jibu la sijisikii nalo halipo since kwangu mi bado naiona it kinda rejection,wanaondoa wanapaswa wajuane kabisa kuwa leo hapa mambo poa na leo hapa mh!kushnehi yani mtu anakusoma tu,mnapiga story mnalala!au kama uko troubled jamaa au wife akurudishe kabisa kwenye mood af mnakipiga!kimsingi ukikuta wanandoa mnatumia kunyimana kama adhabu ni mmeshindwa kuwasiliana na walahi mnazidi kuongeza tatizo!
mwalim umenena.
nilikuwa najiuliza hivi mawasiliano ya kindoa kati ya wananandoa yanasimamiwa na nini na wapi?
je ni tendo tu la kumake love ama ni pamoja na maongezi ya siku nzima na maisha ya siku hiyo? kama ni wakati wa tendo tu basi rejections lazima itakuwepo tu manake hakuna maandilizi hata kidogo. ila kama maisha ya siku nzima yana akisi mawasiliano ya kindoa basi lazima utajua leo wangu ana hamu na mimi ama la. na kama unahamu utakuwa umesha express kihisia zako na amekusoma na infact wakati wa tofauti kati ya wanandoa ni busara zaid mmoja kujishusha pasi kuhesabu gharama ili kurudisha amani iliyopotea kati yenu.
huwaga nasema kama imeshindikana kabisa basi ni bora mkiingia kitandani mkakumbatiana tu and Mungu alivyo wa ajabu utashangaa amani imerudi na hisia za mapenzi zimeamka kati yenu.
kiukweli nasema siwezi hata siku moja kumnyima wangu wa kumoyo lol! yaani nilale na nyege eti nimesusa i cant aisee. ama sina hamu lazima aitafute hamu yangu ilipo ailete ngoma ilie.