Adhabu kwa wezi-wala vya watu

Adhabu kwa wezi-wala vya watu

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,175
Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana?

Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni mbaya wako hakikisha unaingia na kugusa ndani,kisha mwachie aende zake! Taratibu ataanza kufa macho na hatimae atakua kipofu kabisa baada ya muda,tamaa za kuona kwake ndo basi tena. I
 
Hii inanifanya nikumbuke ile wanayosema ukitaka dushelele kubwa nenda porini utafute lilipo dodoki - chanja dodoki kwa kiwembe bila ya kulichuma na wewe muhusika chanja dushelele lako kisha pakaza utomvu wa dodoki kwa dushelele kisha ondoka. Huku nyuma kila dodoki linavyokua na dushelele nalo linakua
 
Kwann upate tabu ya kutafuta konokono si umtoboe macho tu
 
pamoja na kuwachukia wala vya watu huo ukatili hapana nitajiskia vibaya sana mimi pia
pata picha kumfanya mtu tegemezi asiiione dunia inaendaje
 
Hii inanifanya nikumbuke ile wanayosema ukitaka dushelele kubwa nenda porini utafute lilipo dodoki - chanja dodoki kwa kiwembe bila ya kulichuma na wewe muhusika chanja dushelele lako kisha pakaza utomvu wa dodoki kwa dushelele kisha ondoka. Huku nyuma kila dodoki linavyokua na dushelele nalo linakua

malizia hivi na ukilisahau ujue utakua na mzigo balaa maana inatakiwa baada ya muda unalikata
 
Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana?

Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni mbaya wako hakikisha unaingia na kugusa ndani,kisha mwachie aende zake! Taratibu ataanza kufa macho na hatimae atakua kipofu kabisa baada ya muda,tamaa za kuona kwake ndo basi tena. I

Nani alikudanganya vipofu hawatombi? ataendelea kukutombea kama kawaida. Tena kwa taarifa yako mkeo ndo atakuwa anampelekea K buure tena na hela ulizompa juu.
 
Kwa nini umdhuru mwamme mwenzako wakati na huyo mwanamke huwa si mwaminifu.

Ikiwa umeweza kumfumania ina maana ni siku nyingi anacheza mchezo huo, kwa msemo mwengine anakusaliti kwa kipindi kirefu.

Usilaumu mme tu na m'mke anahusika kikamilifu.
 
Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana?

Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni mbaya wako hakikisha unaingia na kugusa ndani,kisha mwachie aende zake! Taratibu ataanza kufa macho na hatimae atakua kipofu kabisa baada ya muda,tamaa za kuona kwake ndo basi tena. I

Wewe lazima utakuwa mchawi. maandiko matakatifu yanasema samehe 7 mara 70
 
THE DON,nawe ukikamatwa kwa uhalifu upo tayari kupokea adhabu hii?
 
Yote ya nini kwani mwanamke au mwanaume yupo mmoja? usikute mwenza wako ndo amelazimisha game na mtu baki wewe unajitia ubabe kumuharibia mtu wa watu.

Nashangaaga sana watu wanaoleta ubabe wanapoliwa vyao badala ya kufanya uchunguzi
 
Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana?

Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni mbaya wako hakikisha unaingia na kugusa ndani,kisha mwachie aende zake! Taratibu ataanza kufa macho na hatimae atakua kipofu kabisa baada ya muda,tamaa za kuona kwake ndo basi tena. I

tambua hasira huja na kutoweka sasa zitakapo kutoka hzo hasira ndipo utaanza kujuta kwa unyama huo pindi umuonapo anahangaika barabarani.............
 
yani hapo tu mi nakosa ujasiri naona kama bora nimwachie tu mwizi aendelee
 
hayo ya nini yote hayo.....me nawaacha sina haja ya kuumiza mtu hapo wameamua kama w2 wazima na huyo nsiyemjua sina haja naye me na deal na huyo aliyenisaliti kwa njia zingine wala c kutoboana
 
pamoja na kuwachukia wala vya watu huo ukatili hapana nitajiskia vibaya sana mimi pia
pata picha kumfanya mtu tegemezi asiiione dunia inaendaje

Kweli dada hiyo adhabu sio poa kabisa ukizingatia kuwa yawezekana jamaa aliambiwa na bibie kuwa hana mume.
 
hayo ya nini yote hayo.....me nawaacha sina haja ya kuumiza mtu hapo wameamua kama w2 wazima na huyo nsiyemjua sina haja naye me na deal na huyo aliyenisaliti kwa njia zingine wala c kutoboana

Safi kabisa.
 
Hii inanifanya nikumbuke ile wanayosema ukitaka dushelele kubwa nenda porini utafute lilipo dodoki - chanja dodoki kwa kiwembe bila ya kulichuma na wewe muhusika chanja dushelele lako kisha pakaza utomvu wa dodoki kwa dushelele kisha ondoka. Huku nyuma kila dodoki linavyokua na dushelele nalo linakua

Hiyo hapana kwa kweli hilo dodoki likizidi kukuwa hilo dushelele mwisho litakua shipa lol...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom