Adhabu kwa wezi-wala vya watu

Adhabu kwa wezi-wala vya watu

Hii inanifanya nikumbuke ile wanayosema ukitaka dushelele kubwa nenda porini utafute lilipo dodoki - chanja dodoki kwa kiwembe bila ya kulichuma na wewe muhusika chanja dushelele lako kisha pakaza utomvu wa dodoki kwa dushelele kisha ondoka. Huku nyuma kila dodoki linavyokua na dushelele nalo linakua

Umenikumbusha utoto aiseee. Long time sana hii kitu imenikumbusha.
 
ili kutatua tatizo lazima ujue chanzo chake...
 
Kwanza hakuna mwizi wa mwanaume wala wa mwanamke, wote si wanakubaliana?
Sasa kama wanakubaliana wenyenywe tena wote wawili wanaenda kupata raha, kwanini mmoja ndio aonekane anaiba?
Halafu umtie upofu kisa? mpuuzi ni huyo anayekuacha wewe akaenda kwa mwingine.
 
Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana? Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni mbaya wako hakikisha unaingia na kugusa ndani,kisha mwachie aende zake! Taratibu ataanza kufa macho na hatimae atakua kipofu kabisa baada ya muda,tamaa za kuona kwake ndo basi tena. I
Hapo unakuwa hujatatua tatizo kwa sababu mkeo ndio mchepukaji na hataki kubaki njia kuu. Kwa hiyo utakapoziba njia hii kwa kutumia konokono mkeo ataendelea kuchepuka na njia nyingine!
 
tambua hasira huja na kutoweka sasa zitakapo kutoka hzo hasira ndipo utaanza kujuta kwa unyama huo pindi umuonapo anahangaika barabarani.............
Mbaya zaidi wewe uliyemfanyia mwenzio ugaidi unaweza tenda kosa kama hilo au ulishatenda huko nyuma leo hii unaenda kumpofua kiumbe wa watu
 
Mbaya zaidi wewe uliyemfanyia mwenzio ugaidi unaweza tenda kosa kama hilo au ulishatenda huko nyuma leo hii unaenda kumpofua kiumbe wa watu

si ndio hapo?! Dawa ni kumpa notice tu atembee wanawake wapo wengi sana
 
Je umesumbuka sana kuumiza kichwa adhabu utayompa mgoni/mwizi wa mpenzio umfumaniapo bila kutumia gharama kubwa sana?

Fanya hivi pale umfumaniapo mgoni/mwizi wako chukua konokono yeyote yule mwenye kigae au asiyenacho na umkate au mchome na kitu chochote,kisha chukua ute wake mpake machoni mbaya wako hakikisha unaingia na kugusa ndani,kisha mwachie aende zake! Taratibu ataanza kufa macho na hatimae atakua kipofu kabisa baada ya muda,tamaa za kuona kwake ndo basi tena. I

Hasira hzo sio bure mpenzi wako atakuwa anachukuliwa na lijamaa.
 
hiyo adhabu sio nzuri kama ni wakiume mshikishe ukuta na kama ni wa kike saga pilipli hadi iwe unga kabisa harafu iweke kwenye K majibu ukae nayo mwenyewe.:director:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom