Adhabu inayofaa kupewa mafisadi sugu

Adhabu inayofaa kupewa mafisadi sugu

njabo

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
193
Reaction score
28
1.Andrew change. 2.Daniel Yona. Wakuu hawa viumbe wameonekana wakijirudia kwenye kashfa za kuimaliza nchi.. ukiwa kama mzalendo unaye nyonywa jasho lako unafikiri adhabu stahiki kwa viumbe hawa..
 
wapigwe risasi hadharani au kifungo miaka 30
 
Back
Top Bottom