Adhabu hii inamfaa nani?

Adhabu hii inamfaa nani?

Inanifaa Mimi
Mtukutu.
Tena wanifunge na minyoro minene......
 
Hapo haijakamilika ilitakiwa kwa chini kunawekwa chungu chenye unga unaosababisha chafya mfurulizo au kusababisha macho kutoa machozi

HAPO HATA KAMA WEWE NI JASUSI LA KGB AU CIA
utaongea tu nani aliye kutuma
 
Hiyo adhabu inamfaa mr edo kwa kusaini mkataba wa richmond
 
Back
Top Bottom