Adhabu hii inamfaa nani?

Adhabu hii inamfaa nani?

Yule baba alitudanganya kuwa tutaishi kama malaika kumbe anatupeleka jehanam.

Sky Eclat Natamani kuota ndoto ikujibu hiviii haya twende ndotoni mamaa .........." bado anasawazisha malaika wanakuwa mashetani kwa nguvu sana na mashetani tumestuck pale pale soon tutakuwa sawa sawa juu ya makenchi ya viwanda"

Ila ndoto ni marufuku siku hizi ..........Hakuna kuota ota

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom