Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

Wanawake wa aina hii ndio wanafanya na sisi wengine wote tuonekane wapumbavu.....sasa mfano ukutane na mkaka mtoa mada hawez kukuamini utachezewa (unalipwa malipo ya mtu mmoja aliyemuumiza huko mahusiano ya nyuma)
 
Wewe acha tu ,Inasikitisha inaumiza inahuzunisha sana,ila ndio hivyo lazima ukubaliane na matokeo ili maisha yaendelee.
 
Kama alivyosema mzee mwenzangu ni kumuacha tu aondoke na wewe iendelee na maisha yako fanya kama ulimsaidia rafiki yako ambae huwezi kumuoa ila kuendelea wakati unajua ni mke wa mtu hilo ni kosa kubwa sana utakalolifanya kuliko kosa la kwanza ulilofanya.”
 
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka nawewe,anambwaga yeye pamoja na mimba yake.

Demu anakusimulia kila kitu anakuomba pesa ili akachomoe mimba kwa madai kwamba hana uwezo kujihudumia yeye akiwa na mimba pamoja na mtoto atakayezaliwa,Unamshauri asitoe
mimba utamsaidia kila kitu,demu anakubali na kushukuru sana, Baada ya kukubali nawewe unachomeka haja ya moyo wako, unamwambia bibie "mtoto akishafikisha miaka mitatu itabidi nikuoe, Demu anakubali na kuendelea kushukuru.

Mtoto anazaliwa sura kama ya baba yake, baada ya kutimiza miaka mitatu unamwambia bibie," Mtoto keshatimiza umri ambao tulishakubaliana kuoana inabidi nije kwenu nijitambulishe rasmi tuanze maisha ya ndoa, Anakujibu "Samahani najua nitakukwaza sana suala la kuoana haliwezekani kwasasa, baada baba yake mtoto kugundua mtoto ni wake alikuja tukamaliza tofauti zetu, na tumekubaliana kuoana mwakani, kilichonifanya nikubali kurudiana naye ni kitu kimoja tu sipendi kuzaa watoto kwa baba tofauti,nilikubali kuoelwa na wewe kwasababu sikuwa na namna nyingine.

Ukweli ni kwamba nakupenda sana na nathamini sana msaada wako,nakushukuru sana kwa moyo wako wa upendo please usiniache,sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa, bila wewe pengine ningeshakufa nikitoa mimba hata nisingekufa lakini huyu mtoto asingekuwepo, Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu.

Ni ndefu sana nisikuchoshe, Utafanya nini?
Ntamwambia asante na kwaheri
 
Duh,kweli ulifungwa kiakili,anyway huyo adhabu yake,funga viyoo,hamna Cha kukufanya mchepuko Wala Nini,afu wataznguana na huyo mzazi mwenzake,ataanza kutumikia mateso,game over.
 
Usianzishe mahusiano serious na dada mjamzito, akili zinakuwaga nyingine kabisa
 
sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa,
Apo ndo udhaifu wa wanawake ulipo na kama mwanaume unautumia upasavyo....

Na mwanaume unaoaje mtu ana mimba/single mother hao watu ni wakustarehe nao tu na kuwapa pesa...unless mzazi mwenzake awe amefariki.
 
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka nawewe,anambwaga yeye pamoja na mimba yake.

Demu anakusimulia kila kitu anakuomba pesa ili akachomoe mimba kwa madai kwamba hana uwezo kujihudumia yeye akiwa na mimba pamoja na mtoto atakayezaliwa,Unamshauri asitoe
mimba utamsaidia kila kitu,demu anakubali na kushukuru sana, Baada ya kukubali nawewe unachomeka haja ya moyo wako, unamwambia bibie "mtoto akishafikisha miaka mitatu itabidi nikuoe, Demu anakubali na kuendelea kushukuru.

Mtoto anazaliwa sura kama ya baba yake, baada ya kutimiza miaka mitatu unamwambia bibie," Mtoto keshatimiza umri ambao tulishakubaliana kuoana inabidi nije kwenu nijitambulishe rasmi tuanze maisha ya ndoa, Anakujibu "Samahani najua nitakukwaza sana suala la kuoana haliwezekani kwasasa, baada baba yake mtoto kugundua mtoto ni wake alikuja tukamaliza tofauti zetu, na tumekubaliana kuoana mwakani, kilichonifanya nikubali kurudiana naye ni kitu kimoja tu sipendi kuzaa watoto kwa baba tofauti,nilikubali kuoelwa na wewe kwasababu sikuwa na namna nyingine.

Ukweli ni kwamba nakupenda sana na nathamini sana msaada wako,nakushukuru sana kwa moyo wako wa upendo please usiniache,sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa, bila wewe pengine ningeshakufa nikitoa mimba hata nisingekufa lakini huyu mtoto asingekuwepo, Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu.

Ni ndefu sana nisikuchoshe, Utafanya nini?
What goes around comes around
 
Wewe ulifuata nini kwa wenye mimba za watu umekosa k zoote unaenda hadi kwa wamama vijachoo ulaaniwe na sanamu yako itengenezwe tupwe mto wami.
Huna hayaa kabisaa ..
 
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka nawewe,anambwaga yeye pamoja na mimba yake.

Demu anakusimulia kila kitu anakuomba pesa ili akachomoe mimba kwa madai kwamba hana uwezo kujihudumia yeye akiwa na mimba pamoja na mtoto atakayezaliwa,Unamshauri asitoe
mimba utamsaidia kila kitu,demu anakubali na kushukuru sana, Baada ya kukubali nawewe unachomeka haja ya moyo wako, unamwambia bibie "mtoto akishafikisha miaka mitatu itabidi nikuoe, Demu anakubali na kuendelea kushukuru.

Mtoto anazaliwa sura kama ya baba yake, baada ya kutimiza miaka mitatu unamwambia bibie," Mtoto keshatimiza umri ambao tulishakubaliana kuoana inabidi nije kwenu nijitambulishe rasmi tuanze maisha ya ndoa, Anakujibu "Samahani najua nitakukwaza sana suala la kuoana haliwezekani kwasasa, baada baba yake mtoto kugundua mtoto ni wake alikuja tukamaliza tofauti zetu, na tumekubaliana kuoana mwakani, kilichonifanya nikubali kurudiana naye ni kitu kimoja tu sipendi kuzaa watoto kwa baba tofauti,nilikubali kuoelwa na wewe kwasababu sikuwa na namna nyingine.

Ukweli ni kwamba nakupenda sana na nathamini sana msaada wako,nakushukuru sana kwa moyo wako wa upendo please usiniache,sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa, bila wewe pengine ningeshakufa nikitoa mimba hata nisingekufa lakini huyu mtoto asingekuwepo, Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu.

Ni ndefu sana nisikuchoshe, Utafanya nini?
Anataka aendelee kupata msaada kwako huku akisubir kuolewa mwakani
Tenda wema uende usingoje malipo achana kiroho Safi ishi maisha yako

Mungu atakulipa na yeye malipo yake atayapata
 
Back
Top Bottom