Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 620
- 1,138
Mwanamuziki Adele hivi karibuni ameachia kibao chake kinachoitwa hello, ni ngoma ambayo imepata waangaliaji wengi youtube kwa kipindi kifupi, kusema ukweli ni kibao kizuri kakiimba vizuri na lyrics ni nzuri. Joe Thomas ameucover huu wimbo wa hello. Kwa mimi binafsi nimependa zaidi cover version ya Joe Thomas kwa jinsi alivyoimba vizuri zaidi ya original version ya Adele Ziangalie mwenyewe then toa uamuzi wako.
Last edited by a moderator: