Addo November: Irene Robert amekutwa Hotelini akiwa mtupu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa shirikisho la muziki nchini Addo November ametoa taarifa fupi kuhusiana na kifo cha Mwanamuziki wa Injili Irene Robert, kuwa alikutwa katika chumba cha Hotel, akiwa mtupu huku akiwa amejisaidia.

1774436075954.png
Inadaiwa Irene alikuwa akiishi na mtu hotelini hapo kwa zaidi ya wiki tatu.

Rais November ameviomba vyombo vya usalama, kufanya uchunguzi wa kifo cha mwanamuziki huyo, licha ya kuwa hakuna kesi ya mauaji iliyofungiliwa.

1774436298390.png

Rais wa shirikisho la muziki Tanzania Addo November
Mwimbaji huyo wa nyimbo za Injili nchini, alifariki dunia Machi 20, 2026 baada ya kuugua ghafla. Taarifa za kifo chake zilithibitishwa na mwimbaji mwenzake, Walter Chilambo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, akionesha masikitiko kufuatia kuondokewa na rafiki yake wa karibu.
 
View attachment 3562568

View: https://www.facebook.com/share/v/174QoNWxLw/
 
Back
Top Bottom