Addiction na Destination zake.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,045
10,476
Hili ni andiko lisilo rasmi( don't take it serious) kama kawaida kila tufanyanalo linakuwa na matokeo either negative or positive. Direct kwenye point hizi ni baadhi ya addictions na matokeo yake nipo tayari kurekebishwa na pia ambaye anajua baadhi ya addictions nyingine na matokeo yake ni vizuri kushare ili kuchukua hatua kabla ya madhara.
1. Unga - Uteja na kuwa tegemezi
2. Ulevi - umasikini na mental disability
3. Sigara - Kansa
4. Ngono - Std eg HIV, kaswende
5. Porn - mapenzi ya jinsia moja kama ushoga na usagaji
6. Bangi - mood isiyotabilika
7. Wivu - Uchawi/roho mbaya
8. Punyeto - upungufu nguvu za kiume/ kutotambua umuhimu wa jinsia nyingine

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom