Addicted to "Bar Maids"

[B said:
Rutashubanyuma;[/B]2180849]Inahitaji moyo sana kuchangia katika uchafu...................................unahitaji uew mwehu hivi ndiyo utaona ipo raha huko............lol
teh teh....
 
Usiwe vuguvugu rafiki - Moto au Baridi ... hakuna dhambi yoyote ninayoifanya chini ya mbingu kwa kwenda baa nikaa na Fauzia pale why not tukanywa tukala nikaenda zangu mbagala kulala.. Labda kama unasali kwa Gwajima!
 
Inahitaji moyo sana kuchangia katika uchafu...................................unahitaji uew mwehu hivi ndiyo utaona ipo raha huko............lol

People are very inclined to set moral standards for others. ~Elizabeth Drew, The New Yorker, 16 February 1987
 
Usiwe vuguvugu rafiki - Moto au Baridi ... hakuna dhambi yoyote ninayoifanya chini ya mbingu kwa kwenda baa nikaa na Fauzia pale why not tukanywa tukala nikaenda zangu mbagala kulala.. Labda kama unasali kwa Gwajima!

hiyo raha huwezi kunipa mie mkeo? tukakaa tukanywa/kula tukajirudia ze2 mbagala?
 
Bar Maids sio watu wa kudharau katika dunia hii, ni wanawake kama wengine na wanastahili heshima kama watu wengine.

Wanafanya kazi hizo kama professional nyingine ili maisha yaende mbele.

Pia wengi wamejikuta wanafanya kazi ya bar baada ya kuchakachuliwa... then unakuta ana mtoto, na inabidi afanye kazi ili aishi.

Sasa kama anafanya kazi na amependeza au ni mzuri... wanaume haooo wanavutiwa. Watu wengi wameoa Bar Maids na wanaishi vizuri na wanaishi maisha murua kabisa. Wasichana wengi wamejikuta wanauza bar kama kazi na wala sio kama sehemu ya kutega.

Na yeye ni binadamu anaweza kushawishika.

Bar Maid hamfuati mwanaume - mara nyingi sisi wanaume ndo tunaanza kwa kuwapa TIP na offer.

Bar Maid sio Changu doa.
 
huwa napiga Chabo tu Msasha. Leo utaenda Chawote au zero pub?
 
naona mama_Enock analalamika!!nilidhani anatania,bar maids poa ila usizae nao basi kaka
 
If you have an addiction keep it going or go to rehab (to your wife that is).
Would you believe it Lizzy? Some bar-maids are better at handling men than wives are. Yes, they know how to say Pole, Karibu, Tukuhudumie nini? etc.(Usikunje uso Lizzy!)
 
Would you believe it Lizzy? Some bar-maids are better at handling men than wives are. Yes, they know how to say Pole, Karibu, Tukuhudumie nini? etc.(Usikunje uso Lizzy!)

You hit the bull man!
 
Would you believe it Lizzy? Some bar-maids are better at handling men than wives are. Yes, they know how to say Pole, Karibu, Tukuhudumie nini? etc.(Usikunje uso Lizzy!)

Hygeia siwezi kukunja uso kwasababu najua ni kweli kabisa unachosema. Watu wengine wanaogopa kabisa kurudi kwenye nyumba zao wenyewe walizojenga kwasababu misuso, kelele,kiburi, jeuri za wake zao. Basi wakipata pa kubembelezwa hata kama wanajua ni uongo wanafurahia hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…