ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

watu 350 inatisha?

Ndio inatisha......omba kumbukumbu ofisi ya Msajili WA vyama vya Siasa Kama walishawahi kuhakiki chama chochote kile cha Siasa iwe CUF, CDM, NCCR, TLP na vingine vyote Kama walishawahi kuhakiki kwa idadi hiyo. Taratibu za msajili ni kuhakiki wanachama 200 na anaweza kusitisha zoezi Hilo baada ya kufikia idadi.
 
Tunawakaribisha kwenye mpambano lakini isije ikawa kama akina peter Mzirai kwenye Kampeni mkaja sema wapeni kura CCM kwani CDM hawafai, maana nyie ni vijivyama vya msimu vinajitokeza uchaguzi ukikaribia.

Haaa pia asije kua kama Dovutwa!!
 
CCM au MaGAMBa yatapukutishwa na CHADEMA 2015 na siyo VINGINEVYO.

HASAN124 Njoo huku tukuvalishe Gwanda uanze MapAMBanO....

Unajua Aristide, malengo ya kweli ni kuhakikisha Magamba yanapukutishwa, harakati zenu CDM ni nzuri na inavutia mnavyowatoa jasho hawa jamaa....hongereni kwa Hilo, Lakini pia kuna style nyingi za kuwaondoa madarakani kidemokrasia, Binafsi naamini ADC ndio mkombozi WA kweli WA Mtanzania.
Karibu ADC.
 
Ni demokrasia lakini utitiri wa vyama hauna tija kwa taifa letu. Ukiangalia kwa makini muundo wa hivi vyama na katiba zao kwa ujumla ni wa kuigana. Tuamke wa TZ.
 
Hivi kuna chama kinaitwa ADC?,mimi ndio leo nakisikia,kirefu chake nini?au African Development Community?au ni cha wale waliojiengua CUF? hichi chama hakina udini kama CUF? je kina sera gani? viongozi wake ni nani,tafadhali anayejua viongozi wake aweke majina yao tuyaone,kina uwakilishi mikoa yote au ni chama cha kikanda?nijuze kuuliza sio ujinga.
 
We ccm f Arusha lini mbona kwenye neema hatuwaoni au hao jamaa mnawapa
hela ndogo halafua hawana changamoto
 
Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...
Hilo ndio swali la msingi....watanzania wenzangu nashindwa kuwaelewa. Hospitali "zinatambaa" shule zinawalimu ambao moyo wa Kufundisha unauawa kila siku WATU wanakusanyika kujiunga na chama kipya. Du siasa inatuua kwa ujinga wetu.
 
Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...
Siku moja mitandao ya simu itawahumbua kwa kuwarushia ela watu ili waje wakapigwe picha, yaani unarushihwa tigopesa 20,000 unakujua kujifanya mwanachama wa nanlii..inamaana hawa wote hawakuwa na chama wakati zote? au ndo wamechonshwa na vyama vyao, je inaruhusiwa kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa?
 
Tafuta mpaka mbinguni hutakuta mtu karushiwa pesa,ni uchungu wa kutaka kuleta mabadiliko ya kweli,nahii nikutokana na Rushwa kuhamia kwenye vyama vya upinzani,Tafakari chukua hatua,karibu ADC,chama chenye mvuto wa ajabu,pili kwa jinsi ulivyo vurugwa unawaza rushwa tu.
 
Hivi kuna chama kinaitwa ADC?,mimi ndio leo nakisikia,kirefu chake nini?au African Development Community?au ni cha wale waliojiengua CUF? hichi chama hakina udini kama CUF? je kina sera gani? viongozi wake ni nani,tafadhali anayejua viongozi wake aweke majina yao tuyaone,kina uwakilishi mikoa yote au ni chama cha kikanda?nijuze kuuliza sio ujinga.

ADC ni chama cha siasa kinachotetemesha vyama vyenye Rushwa tena vya upinzani,kirefu chake niAlliance for Democrtic Change,Tatizo hapa ni shule,kwa sasa kina ungwa mkono mikoa kumi na Tano nakimeshadhaminiwa na mikoa saba,HIKI si chama cha kikanda,KAMACUF pemba CDM, kule kwa wachaga na mule mwa wakristo,
 
Wabongo kwa kutafuta mission town (mbinu za kuishi mjini) , yaani nimekoma nao!..

Unajua Aristide, malengo ya kweli ni kuhakikisha Magamba yanapukutishwa, harakati zenu CDM ni nzuri na inavutia mnavyowatoa jasho hawa jamaa....hongereni kwa Hilo, Lakini pia kuna style nyingi za kuwaondoa madarakani kidemokrasia, Binafsi naamini ADC ndio mkombozi WA kweli WA Mtanzania.
Karibu ADC.

Propaganda za kitoto hizo zinafaa kwa wanamagamba kwani kwa mwanachadema aliyeiva kidemocrasia huo ni uchwara,tunaomba mkaibomoe ccm origional maana kumbikumbi wameenea huko ni wakuzoa2 si Chadema members!tunatangulia mtatukuta mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom