ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
http.//www.umbea.com
mabwaku mboni site yako haifunguki..
http.//www.umbea.com
Hivi msajili hana mamlaka kisheria kuwaamuru wabadili bendera yao ikitokea kuwa inafanana na ya CDM? Hawa wakiunganisha nguvu na CCK wanaweza kuja kuwa tishio katika siasa za Tanzania siku zijazo.Naona hapa mjini kuna hekaheka za usajili wa chama kipya,naona mida hii ndio wanapita hapa posta... ila naona bendela yao rangi hazitofautiani sana na ya chadema.... CDM jiandaeni
Hivi
msajili hana mamlaka kisheria kuwaamuru wabadili bendera yao ikitokea
kuwa inafanana na ya CDM? Hawa wakiunganisha nguvu na CCK wanaweza kuja
kuwa tishio katika siasa za Tanzania siku zijazo.
vyama sasa vimekuwa NGO'S kila mtu anaamka na kuanzisha ya kwake