ADC wamjia juu Lissu

Halafu wanadamu wengine bhwana ni wa ajabu sasa ADC mnatafuta nini?.ADC ni nani?.Kwanza mmejitokeza wala hamjamwelewa vizuri fuatilieni vizuri maelezo aliyoyatoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema cyo chama kinachopenda maendeleo kufanywa na ccm ili wapate cha kuongea kwenye kampeni, wao wanadhani mazuri yatafanywa na viongozi wa chadema tu.huo ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…