ADC wamjia juu Lissu

Tanzania ni yetu sote, Tanzania sio ya CCM peke yake, ni ya watanzania wote, wawe wamepiga kura, kutopiga, kumchagua raisi au kutomchagua, raisi katokea chama cha ccm hivyo ni raisi wa tanzania yote, sasa cha ajabu hii nchi wapinzani wanaonekana ni maharamia, ni magaidi, hawasikilzwi wanachosema wanabezwa, wanadhihakiwa, tukae pamoja vyama vyote tuwe wa1, tujenge nchi yetu kwa mustakabli wetu wote, lakini hizi chuki, ubinafsi hazitatufikisha popote, CCM wakae na wapinzani waongee wanafanyeje kutatua kero na matatizo ya wananchi wao, lakini kama kuongea na wapinzani pa1 inaonekana kama unapatana na magaidi, hatutafika tunapotaka kwenda, chuki kati ya jamii zetu ndio zitazidi kama zinavyozidi kusambaa sasa,
 
Matawi ya CCM naona muda wenu ndiyo huu sasa wa kuuza sura.
 
ADC hawana hata kiongozi mmoja aliyechaguliwa na wananchi kuanzi ngazi ya mtaa, kata hadi kwenye majimbo hivyo hizo nguvu wanazotumia kumfuatilia Lissu ni bora wazihamishie kwenye kujenga chama chao.
 
mbona fresh tu maana hata bosi wetu kuna kipindi alisema hataki misaada so tuifanye official tu....hivi vyama vya ruzuku havijui hata vinataka nini. ccm inapotupeleka tutaumia woote sio chadema du so lazima nguvu za nje ziwepo kumtisha kidogoa aachane na mienendo hii
 
Lissu ni habari nyingine, yaani serikali mzima, ccm kama chama pamoja na vibaraka wake wote wanatoka mapovu hadi wanatia huruma
 

Msimamo wetu ni go go go go Lissu,ukweli na uwazi hauwezi kuiacha CCM salama.Hao ADC ni tawi la CCM
 
Hee icho chama cha Tz???
Mmh naona wanatafuta kiki ya pikipiki
 
ADC ndo wanahusika na nini wazee??mi mbon km sipo nchi hii
 
Chadema hawajawahi kuitakia mema hili Taifa letu; wanawakaribisha mafisadi na kuwapa nafasi za uongozi .

Chadema ni watu hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…