Sikumbuki, lakini kuna watu walitaka kuanzisha chama kwa jina TANU, Lakini msajiri wa vyama wakati huo akawakatalia kutumia jina hilo, kwasaabbu lina unasababu na CCM. TANU + ASP = CCM
Mpango kabambe wa ccm kutaka kuidhoofisha chadema, hiyo bendera haikubaliki kabisa. Wanachadema wote tuipinge, huu ni undumilakuwili si wangetumia ya ndugu yao ccm au ya mama yake cuf
Hizi ndio akili za matope hizi, kuna mahali imeandikwa hapa tanzania kwamba ni marufuku kutumia rangi hizo kwa sababu ni za chadema? Inamaana chadema ndio waliotunga rangi duniani?! Non sense!!
Bendera yao haifanani na bendera ya chadema, bali woga unawasumbua, wao ndio walioiba rangi za CUF mbona cuf walikaa kimya, ADC bendera yao ina nyota CHADEMA vidole viwili kuashiria wizi.