Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
ZUZU; Unajuwa zumbukuku dhambi zingekuwa amna sema daaa adam na eva ndio wametuponza
ZUMBUKUKU;kwann leo umewaza hivyo??
ZUZU;Adam na Eva wangekuwa wachina,dhambi isinge kuwepo ,kwan wangemla yule nyoka. Tatizo wazungu wanapenda sana matunda ndio maana wakala lile tunda, we unaonaje?
...na wangekuwa wabongo wangemuua yule nyoka.
Haswaa mkuu...kumbe bora wangekuwa wabongo
ya zamani, hata ivo adam na eva hawakuwa wazungu, teh teh
hata hii comment yako ya zamani pia
bora walikula maana mpaka leo mi nalifaidi hili tunda..
...na wangekuwa wabongo wangemuua yule nyoka.