ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,601 Reaction score 119,746 Jun 3, 2015 #61 FaizaFoxy said: = regulation Hivi hata Kiingereza huwa mnazikosea "R" na "L" - Majanga Sheria si msahafu, inaweza kutungwa leo, mwezi baadae ikaonekana ina mapungufu ikaboreshwa - kumbuka hilo. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Unatumia kibwagizo kizuri kweli faiza!!!
FaizaFoxy said: = regulation Hivi hata Kiingereza huwa mnazikosea "R" na "L" - Majanga Sheria si msahafu, inaweza kutungwa leo, mwezi baadae ikaonekana ina mapungufu ikaboreshwa - kumbuka hilo. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Unatumia kibwagizo kizuri kweli faiza!!!
mwanzo wetu JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 1,587 Reaction score 466 Jun 3, 2015 #62 Malima ni -000000 kichwani
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Jun 3, 2015 #63 FaizaFoxy said: = regulation Hivi hata Kiingereza huwa mnazikosea "R" na "L" - Majanga Sheria si msahafu, inaweza kutungwa leo, mwezi baadae ikaonekana ina mapungufu ikaboreshwa - kumbuka hilo. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Ulichoelewa hapa ni makosa ya uandishi ila yale kifikra hujayaona, nawe unayo.
FaizaFoxy said: = regulation Hivi hata Kiingereza huwa mnazikosea "R" na "L" - Majanga Sheria si msahafu, inaweza kutungwa leo, mwezi baadae ikaonekana ina mapungufu ikaboreshwa - kumbuka hilo. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Ulichoelewa hapa ni makosa ya uandishi ila yale kifikra hujayaona, nawe unayo.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jun 3, 2015 #64 merengo90 said: Ulichoelewa hapa ni makosa ya uandishi ila yale kifikra hujayaona, nawe unayo. Click to expand... Nisome vizuri, baada ya kusahihisha mstari unaofatia nimejibu hoja. Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
merengo90 said: Ulichoelewa hapa ni makosa ya uandishi ila yale kifikra hujayaona, nawe unayo. Click to expand... Nisome vizuri, baada ya kusahihisha mstari unaofatia nimejibu hoja. Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
M Mkirindi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 6,752 Reaction score 4,972 Jun 3, 2015 #65 OKW BOBAN SUNZU said: sio lazima unijibu,majibu haya mmepelekee mama ako. Click to expand... Mbona matusi tena, mamayake kakukosea nini? Tuwe wenye busara
OKW BOBAN SUNZU said: sio lazima unijibu,majibu haya mmepelekee mama ako. Click to expand... Mbona matusi tena, mamayake kakukosea nini? Tuwe wenye busara
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Jun 3, 2015 #66 FaizaFoxy said: Nisome vizuri, baada ya kusahihisha mstari unaofatia nimejibu hoja. Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga? Click to expand... Hoja uliyotoa umeenda OP.
FaizaFoxy said: Nisome vizuri, baada ya kusahihisha mstari unaofatia nimejibu hoja. Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga? Click to expand... Hoja uliyotoa umeenda OP.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,069 Reaction score 134,426 Jun 3, 2015 Thread starter #67 Mkirindi said: Mbona matusi tena, mamayake kakukosea nini? Tuwe wenye busara Click to expand... matusi yapo wapi hapo
Mkirindi said: Mbona matusi tena, mamayake kakukosea nini? Tuwe wenye busara Click to expand... matusi yapo wapi hapo