William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Akili ya Mnyika huko kwenu wachanganye wote hamtafikia hata 70% ya alizo nazo.
Sent from my iPad using JamiiForums
tofauti ni kwamba Wiliam ye ni mbumbumbe wa kudumu.miaka 62 lakini kama bado yupo kwenye balehe
Jamani nimemshangaa sana Mh.Adam Malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua Sheria ya Manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.Ikumbukwe kuwa bunge imetunga Public Procurement Act No.7 of 2011 yenye Reguration ya 2013.Ambayo kwa mujibu wa tangazo la Dr.Likwelike wa PPRA,na Government notice no.445 of 13th December, sheria hii imeanza kutumika 15th December 2013.Sasa najiuliza je Malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?
mbumbumbu mwingine huyu hapa,hajui hata source ya umbumbumbu unaozungumzwa
ungejua hata iyo sheria ya manunuzi huku makazini wanaiita "sheria ya mnyika" baada ya kufanya amendiment ya vifungu vya sheria hiyo mpya kw 99%,sasa la saba wa namna hiyo si prof kwa ccm.....
mbona hushangai slaa aliyekana kuwepo kwa kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama ambacho yeye ndo mtendaji mkuu?
- Hoja yake ya msingi ni kwamba Sheria ifumuliwe upya haifai, sasa kosa lake ni nini hasa?
Le Mutuz System
funza yake mavi.sio lazima unijibu,majibu haya mmepelekee mama ako.
Hata mie naona ya kuwa amejitahidi. Labda mkuu Okwi katika hilo suala asemalo kama kapotosha. Nimejaribu kumlinganisha na mwenzie Mwigulu kwa kweli kamuacha mbali sana.
Mwiguli hoja zake sio constructive,yeye anajibu jumla jumla kama yuko kwenye mkutano wa siasa jukwaani. Halafu bado anaonyesha hana uelewa hata wa kile akizungumziacho ana changanyachanganya tuu.
Uteuzi wake una kasoro hasa katika kipindi hiki ambacho weledi unahitajika sana. Hivi kweli twaweza kumtuma Mwigulu atuwakilishe kwenye mikataba ambayo wenzetu wana watu wajanja sana?
Sent from my iPad using JamiiForums
Hivi ile kesi ya yule Changu wa kule Moro 'aliyedozi' naye kule hotelini Moro na kumkomba kila kitu including SMG yake ya 'kuwindia' hivi ile kesi ilishahukumiwa kule mahakamani Morogoro?Future president mpumzishe mkuuu
Mnyika ana A9 form 4 haya we kubwa jinga unaa hata B?- Darasa la Saba? Sasa ulitegemea tufikie akili ya darasa la Saba?
Le Mutuz System
huyu muulizeni masuala ya silaha za ak 47,kusahau silaha mahotelini , machangudoa .....kuchukua mademu wa udom...cbe ,st john etc ...kwenda south africa kwa majina ya kufoji, kustua majani ......pete za majini...na unafiki wa kujifanya mtu wa swala ..
Msimuonee mtoto wa watu kutegemea makubwa kutoka kwake ....hamumtendei haki ..
Adam tatizo lake anataka kuwa kama marehem baba yake...kweli ni kuwa hata robo hamfikii Kighoma.
Mtoto wa marehem Kighoma aliyerithi ule ubongo nI yulr alitekuwa Marekani.
Kitu kingine kinachoniudhi na huyu adam yeye kila wakati anaongea Ki Spanish...na mijisim yake 6 sasa kwa nini asinunue sim 2 za tripo line
Mwisho zaidi mimi siwezi kum sapoti adam kwa sababu anaipenda sana Arsenal clabu ambayo.ni ya ma failures.
Adam njoo manyuuu