Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,001
- 134,192
huyu mayu muulize habari za kutembea na bastola 2,laptop mbili ,simu 4,m.4 dola m. 4 akiwa safarini morogoro hayo ni mambo makubwa sana kwake! Acha wazaramo wale bata ni muda wao kwani hautarudi tena!jamani nimemshangaa sana mh.adam malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua sheria ya manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.ikumbukwe kuwa bunge imetunga public procurement act no.7 of 2011 yenye reguration ya 2013.ambayo kwa mujibu wa tangazo la dr.likwelike wa ppra,na government notice no.445 of 13th december, sheria hii imeanza kutumika 15th december 2013.sasa najiuliza je malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?
mbona presentation yake naona ilikuwa nzuri tu? au labda sikuwa makini?
huyu mayu muulize habari za kutembea na bastola 2,laptop mbili ,simu 4,m.4 dola m. 4 akiwa safarini morogoro hayo ni mambo makubwa sana kwake! Acha wazaramo wale bata ni muda wao kwani hautarudi tena!
mbona presentation yake naona ilikuwa nzuri tu? au labda sikuwa makini?
Haaah,haa "Muntua" genge la wahuni limepewa wizara,
Jamani nimemshangaa sana Mh.Adam Malima,naibu waziri wa fedha akiona umuhimu wa kuifumua Sheria ya Manunuzi ambayo kwa maneno yake anasema imekuwa kongwe kwa miaka 10,akimaanisha sheria hii imepitwa na wakati hivyo iboreshwe.Ikumbukwe kuwa bunge imetunga Public Procurement Act No.7 of 2011 yenye Reguration ya 2013.Ambayo kwa mujibu wa tangazo la Dr.Likwelike wa PPRA,na Government notice no.445 of 13th December, sheria hii imeanza kutumika 15th December 2013.Sasa najiuliza je Malima pamoja na uwepo wake wizarani,hajui kuwa sheria hii ilishaboresha?
- Hoja yake ya msingi ni kwamba Sheria ifumuliwe upya haifai, sasa kosa lake ni nini hasa?
Le Mutuz System
umesoma mistari mingapi katika bandiko langu?mana alichosema ni kufumuliwa sheria yenye miaka zaidi ya 10 akimaanisha sheria ya manunuzi ya 2004,wakati kuna sheria mpya ya 2011,na imeanza kutumika Decemba 2013
- Hoja yake ya msingi ni kwamba Sheria ifumuliwe upya haifai, sasa kosa lake ni nini hasa?
Le Mutuz System
mbona presentation yake naona ilikuwa nzuri tu? au labda sikuwa makini?
huyu mayu muulize habari za kutembea na bastola 2,laptop mbili ,simu 4,m.4 dola m. 4 akiwa safarini morogoro hayo ni mambo makubwa sana kwake! Acha wazaramo wale bata ni muda wao kwani hautarudi tena!
Mkuu kuwa na sauti ya ku command sio kigezo pekee cha kuwa waziri kamili,wote Mwigulu,Malima na hata mwanamke Saada mapovu yanawatoka tuu,hakuna la maana wanaloweza kutueleza wa Tanzania wa leo,Na huyo Zungu ndo kaongea ungese kabisa kuhusu sakata la UDA,Mimi naona Mh. Malima kajitahidi sana! Mwigulu ndo Bomu kabisa kwenye ile timu, yaani anajibu utafikri mkulima fulani kaibuliwa kijijini na kupelekwa kwenye mkutano! Jibu analitafuta karibia dakika nzima na akija kujibu anajibu kile kile alichosema muda mfupi uliopita. Hapa kwa ufupi ubongo wake hauna coordination na mdomo wake! Maana kukukukuku zilikuwa nyingi mpaka unatamani kuipiga teke TV yako! Waziri naye kazi yake kujichekesha tu utafikri anatongozwa! Kazi kweli kweli! Kati ya hao wote Malima ndo alipaswa kuwa waziri kamili, sauti yake angalau anapowasilisha inakuwa na command!