Naona Siasa za kupakana mavi sishaanza, Adma Maalima ni kijana makini sana na anae jitahidi sana, Lakini kitu muhimu ambacho kinahitajika kuzingatiwa nikuwa Naidbu wazira katika sera za itikadi katika wizara ni ndogo sana, na mara nyingi utaona naibu waziri anaonelewa sana, kwani utaona waziri husika ana hakikisha hicho kiti is responsible to fill in for the Minister akiwa likizoni.
Adam alifanya vizuri sana alipokuwa Nishati, na kwa yule anaye jua habari za huko atatoa ushahidi, Admu aliwashauri Tanesco kubadilisha mwenendo wa uendeshaji ili wasije kukutana na matatizo ya kupungikiwa na umeme, akapigwa vita, Alishauri Tanesco kuinunuwa Dowans ilipokuwa inauzwa, alipigwa vita na leo tunalipa Symbion mabilions wakitumia ileile mitambo ya Dowans, Alishauri Gesi iliyopatikana sehemu za Mkuranga itumike kuzalisha umeme wa megawati 150, kina Ngeleja, Jairo na Tanesco walimpiga Vita.
Hili Sakata la Korosho, kama hamna habari kuna geneg la mafia Kutoka India wanashirikiana na Bodi ya Korosho, Utaona kila msimu bei ya Korosho ya Tanzania inajengewa bei ambayo ni kubwa sana ( km TS 1400/- kg) hali mkulima analipwa 800, tena kwa mipango, na hizo korosho zinakaa godown mpaka zinakosa bei alafu wahindi makampuni mawil ya India na Moja la Kitanzania lenye asili ya Singida, ndio wanaobeba Zao lote kwa bei ya kutupa.
Adamu kalizungumzia lakini anavunjwa nguvu na waziri wake, Huyu Kijana anauwezo mkubwa na ni economist wa maana sana, anahitaji apewa full authority. Hivi sasa anapigania kuanzishwe viwanda vya kubangua korosho to add value to our raw product.
Huyu anaye mchafua analake jingine