oyeiko ngeleja
Member
- Oct 16, 2013
- 58
- 39
Adam Kighoma Malima Mbunge wa Mkuranga pia naibu waziri wa kilimo kawashangaza wanamkuranga kwa kushindwa kusimamia zao la korosho ambalo ndiyo kitega uchumi cha wakazi wa jimbo lake(wapiga kura wake).
Ikumbukwe kuwa Adam Malima ni miongoni mwa mizigo iliyotajwa ndani ya CCM,Mzigo huu umekuwa haubebeki katika kila wizara na ukijaribu kuubeba unavunjika mgongo.
Ushauri kwa raisi mimi kama Mwanaharakati namshauri rais autue huu mzigo katika baraza jipya,Mzigo huu ambao ni kero kubwa sana katika taifa unastahili hata kuvuliwa uanachama ndani ya CCM.
MALIMA KIGODA WEWE NI MZIGO HUTUFAI TOKA MADARAKANI.