Adam Kighoma Malima ni mzigo mzito sana kwa wana-Mkuranga

Oct 16, 2013
58
0
Adam Kighoma Malima Mbunge wa Mkuranga pia naibu waziri wa kilimo kawashangaza wanamkuranga kwa kushindwa kusimamia zao la korosho ambalo ndiyo kitega uchumi cha wakazi wa jimbo lake(wapiga kura wake).

Ikumbukwe kuwa Adam Malima ni miongoni mwa mizigo iliyotajwa ndani ya CCM,Mzigo huu umekuwa haubebeki katika kila wizara na ukijaribu kuubeba unavunjika mgongo.

Ushauri kwa raisi mimi kama Mwanaharakati namshauri rais autue huu mzigo katika baraza jipya,Mzigo huu ambao ni kero kubwa sana katika taifa unastahili hata kuvuliwa uanachama ndani ya CCM.

MALIMA KIGODA WEWE NI MZIGO HUTUFAI TOKA MADARAKANI.
 

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,234
2,000
Adam kigoda Malima Mbunge wa Mkuranga pia naibu waziri wa kilimo kawashangaza wanamkuranga kwa kushindwa kusimamia zao la korosho ambalo ndiyo kitega uchumi cha wakazi wa jimbo lake(wapiga kura wake),ikumbukwe kuwa Adam malima ni miongoni mwa mizigo iliyotajwa ndani ya ccm,Mzigo huu umekuwa haubebeki katika kila wizara na ukijaribu kuubeba unavunjika mgongo,ushauri kwa raisi mimi kama Mwanaharakati namshauri raisi autue huu mzigo katika baraza jipya,Mzigo huu ambao ni kero kubwa sana katika taifa unastahili hata kuvuliwa uanachama ndani ya ccm.MALIMA KIGODA WEWE NI MZIGO HUTUFAI TOKA MADARAKANI

Ndie anakua waziri kamili wa wzr ya kilimo itkuweje sasa?
 

Super Handsome

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
3,797
2,000
Adam kigoda Malima Mbunge wa Mkuranga pia naibu waziri wa kilimo kawashangaza wanamkuranga kwa kushindwa kusimamia zao la korosho ambalo ndiyo kitega uchumi cha wakazi wa jimbo lake(wapiga kura wake),ikumbukwe kuwa Adam malima ni miongoni mwa mizigo iliyotajwa ndani ya ccm,Mzigo huu umekuwa haubebeki katika kila wizara na ukijaribu kuubeba unavunjika mgongo,ushauri kwa raisi mimi kama Mwanaharakati namshauri raisi autue huu mzigo katika baraza jipya,Mzigo huu ambao ni kero kubwa sana katika taifa unastahili hata kuvuliwa uanachama ndani ya ccm.MALIMA KIGODA WEWE NI MZIGO HUTUFAI TOKA MADARAKANI

Yani mbunge wako hata majina humjui..Kigoda ndio nini? ama mbunge mpya?


Adam Kighoma Malima
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,795
2,000
Ndie anakua waziri kamili wa wzr ya kilimo itkuweje sasa?

Amazing!!!, kama ameshindwa kushughulikia matatizo ya jimboni kwakwe, ndiyo ataweza kushughulikia maswala ya kilimo kwa nchi nzima huyo?!! inashangaza sana, jana tu hapa tumeambiwa kuna shule ina mwalimu mmoja na imeezekwa kwa nyasi mkoa huohuo wa pwani wilayani bagamoyo, na habari zikasema ni shule iliyopo jimboni kwa waziri wa elimu, hapa nashindwa kuelewa mambo yamekaakaaje Coast Region
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
toka skandali yake ya kuibiwa na changudoa muji kasoro bahari amekuwa mpole sana, makeke yote kwisha,
chezea changu weye!!!!!
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,795
2,000
toka skandali yake ya kuibiwa na changudoa muji kasoro bahari amekuwa mpole sana, makeke yote kwisha,
chezea changu weye!!!!!

My God!!! ndo huyu tulisikia kaibiwa SMG na changu hotelini??!!!!, basi ndugu mwana mkuranga pole sana hapo usitegemee mabadiliko yoyote,
 

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,375
2,000
Naona Siasa za kupakana mavi sishaanza, Adma Maalima ni kijana makini sana na anae jitahidi sana, Lakini kitu muhimu ambacho kinahitajika kuzingatiwa nikuwa Naidbu wazira katika sera za itikadi katika wizara ni ndogo sana, na mara nyingi utaona naibu waziri anaonelewa sana, kwani utaona waziri husika ana hakikisha hicho kiti is responsible to fill in for the Minister akiwa likizoni.

Adam alifanya vizuri sana alipokuwa Nishati, na kwa yule anaye jua habari za huko atatoa ushahidi, Admu aliwashauri Tanesco kubadilisha mwenendo wa uendeshaji ili wasije kukutana na matatizo ya kupungikiwa na umeme, akapigwa vita, Alishauri Tanesco kuinunuwa Dowans ilipokuwa inauzwa, alipigwa vita na leo tunalipa Symbion mabilions wakitumia ileile mitambo ya Dowans, Alishauri Gesi iliyopatikana sehemu za Mkuranga itumike kuzalisha umeme wa megawati 150, kina Ngeleja, Jairo na Tanesco walimpiga Vita.

Hili Sakata la Korosho, kama hamna habari kuna geneg la mafia Kutoka India wanashirikiana na Bodi ya Korosho, Utaona kila msimu bei ya Korosho ya Tanzania inajengewa bei ambayo ni kubwa sana ( km TS 1400/- kg) hali mkulima analipwa 800, tena kwa mipango, na hizo korosho zinakaa godown mpaka zinakosa bei alafu wahindi makampuni mawil ya India na Moja la Kitanzania lenye asili ya Singida, ndio wanaobeba Zao lote kwa bei ya kutupa.

Adamu kalizungumzia lakini anavunjwa nguvu na waziri wake, Huyu Kijana anauwezo mkubwa na ni economist wa maana sana, anahitaji apewa full authority. Hivi sasa anapigania kuanzishwe viwanda vya kubangua korosho to add value to our raw product.

Huyu anaye mchafua analake jingine
 

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502
2,000
wee unafikiri yale mapete anavaa bure.?!si jk wala ccm wa kumtosa malima.ana ulinzi tosha ktk pete zake.
 

Tewe

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
884
1,000
hilo ndio tatizo la uongozi wa kubebana, simply because ni mtoto wa kigoma malima (the late) anapewa uwaziri, shame ou maccm
 

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,217
2,000
huyu jamaa kuna kipindi alimnanga mzee six (marehemu) bila kujali ana umri sawa na baba yake.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,413
2,000
Na alikuwa analinga sana huyu jamaa kana kwamba funguo za dunia alikuwa kapewa yeye kumbe anazo shetani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom