Ada ya saini na mihuri ya wanasheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ada ya saini na mihuri ya wanasheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Muadilifu, Sep 17, 2010.

 1. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu naombeni msaada kidogo kuhusu haya malipo wanayodai wanasheria pindi unapopeleka nyaraka zako waziidhinishe. Hivi, sheria inasemaje, ni halali kuwalipa kwa kazi hiyo, na kama ni halali ni shilingi ngapi wanatakiwa kulipwa kisheria. Manake kuna wakati nilipeleka fomu zangu mahakamani zisainiwe na kugongwa muhuri, Karani wa mahakama akanipokea na kuniambia nmpe Shilingi 15, kwa kuwa ada ya kira muhuri ni shilingi 5,000. Nilikuwa nahitaji mitatu. Nilipomuomba risiti, akaniambia hiyo mihuri yenyewe ndio risiti tayari, inajitosheleza. Nikashindwa kumbana zaidi. Msaada tafadhali
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Ungefungua mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi hapo hapo.
  Mihuri ya mahakamani ni sh. 500/= na unapewa risiti yako ya njano.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Muadilifu anataka kujua Sheria zinazohusika, wewe unamwambia tu afungue mashtaka! Mihuri ya mahakamani ni Sh 500/- kwa Sheria ipi? Tujulishe tafadhali!
   
Loading...