Ada ya chuo St. Joseph

Ada ya chuo St. Joseph

mkuu hata tupate one tz nzima hatuwez soma chuo kimoja nafasi ni chache mnoooo wenye pesa ndo wanasoma

Uko sahihi mkuu, af anaesema ufaulu mdogo anakichaa cha uzazi mfano mimi nmesoma PCB na matokeo yang phy~D, Chem~B+, bios~B nko st joseph dar, na nmegundua wanaoropoka ndo wanaufaulu duni albahatisha so anataka aheshmike kwa maneno, tatzo nafas haztosh af wengne walichagua hvi vyuo bila kujua matatzo yake, wakiamin vya private ni bora,
 
Wee umefelii bhanaa usijibalaguze nanii alokwambia uchague ukoo na BRN yakoo hahahhah etii B+ upumbavuu uoo ndoupoo st joseph kavipii achachuoo uaply upyaa uonee balaa lakee hahahhhaha kuwa na subira alafuu hatukuitajii matokeo yakoo hapaa unaonyesha jinsi gani ulivyokuwa mjinga kama wahindi wako hahahahah
 
mkuuu unajua huyo serotherapy hajielewi
 
Uko sahihi mkuu, af anaesema ufaulu mdogo anakichaa cha uzazi mfano mimi nmesoma PCB na matokeo yang phy~D, Chem~B+, bios~B nko st joseph dar, na nmegundua wanaoropoka ndo wanaufaulu duni albahatisha so anataka aheshmike kwa maneno, tatzo nafas haztosh af wengne walichagua hvi vyuo bila kujua matatzo yake, wakiamin vya private ni bora,

mkuuu yani hichi cha arusha ndo hakifai kabisaa
 
Wee umefelii bhanaa usijibalaguze nanii alokwambia uchague ukoo na BRN yakoo hahahhah etii B+ upumbavuu uoo ndoupoo st joseph kavipii achachuoo uaply upyaa uonee balaa lakee hahahhhaha kuwa na subira alafuu hatukuitajii matokeo yakoo hapaa unaonyesha jinsi gani ulivyokuwa mjinga kama wahindi wako hahahahah

dah tungekuwa na watu kama ww mbona nchi yetu ingeendelea mana waliofeli wote ni uzembe ila angalia kabla hujaaandika kitu
 
Saiv ukitaka kijiepusha na vyuo km ivoo pasua vizr .otherwise majanga

Ndugu yangu sio wote wanaosoma St Joseph hawakufaulu vzuri. Rekebisha kauli yako mana mwenyewe nishasoma pale na napajua vzur
 
daaa mwananguuu kama umepita jkt kunausemii huu‘’ntarekebishaa afandeeeee’ pamojaa baba mimwenyewe nimejistukia nduguu one love
 
chuo kile nichawafanya biashara mimi niko mwaka wa pili campus ya Arusha tablet walitoaga mwaka wetu 2 pnd tuko first year,na zile tablet ni mbovu mana zinazidiwa uwezo na smartphone mana zenyewe ni 2G,
 
Ada yao ni 1.82 mwanafunzi analazmika kuongezea 520000 hafu kwa cc second year hatuna hela ya special fakati,lkn cha ajabu wale waliomaliza fom four wanaosoma miaka mitano ndo wanaspecial fakati ya laki tatu kwa mwaka.
 
Mkuu hebu fafanua vizuri hapa, kuwa f4 wana soma miaka 5 ili kupata nn? kama ni jiwe inamaana kupata dip ni 2yrs baada ya hapo wanaomba tcu au wanaunga tu direct?
 
Back
Top Bottom