Kukubalika kwa Jiwe hakujaanza alipokufariki tu bali ni tokea akiwa hai madarakani, hiyo dhana ya ujinsi na uzanzibari haikuwa hivyo mwanzoni wakati anapokea hiyo nafasi alikubalika sana tu ila kadri muda ulivyozidi kwenda ndio hali ikabadilika hivyo binafsi sio mashiko katika hiyo hoja.DHana kwamba Magu wamemuua + Rais mwanamama wa kizenji
Hayo mawili mimi ndo naona sababu
Ulikuwa mnyonge kvp wakati wa JPM na sasa kvp sio mnyonge?Samia kaniondolea unyonge uliotengenezwa na jpm
Sawa mkuuKukubalika kwa Jiwe hakujaanza alipokufariki tu bali ni tokea akiwa hai madarakani, hiyo dhana ya ujinsi na uzanzibari haikuwa hivyo mwanzoni wakati anapokea hiyo nafasi alikubalika sana tu ila kadri muda ulivyozidi kwenda ndio hali ikabadilika hivyo binafsi sio mashiko katika hiyo hoja.
Walioumizwa na utawala wa JPM ni majizi,wauza unga na wanaoishi kxa ujanja ujanja.. kwenye maombolezo ya kifo chake watu 45 walipoteza maisha pale uwanja wa Mkapa.. na nchi nzima ilimulilia isipokuwa mafisadi .. hii inadhihirisha ni jinsi gani aligusa wananchi wake..nashindwa kupata picha huyu Kahaba wenu akitwaliwa ataombolezwa na nani ?Watu wanateseka kwa sababu bado watu wameumizwa na yule firauni laanatullahi magufuli kuna waliofanywa vilema wa maisha kuna waliouliwa jamaa zao kuna waliovunjiwa majumba nk
Walioumizwa na utawala wa JPM ni majizi,wauza unga na wanaoishi kxa ujanja ujanja.. kwenye maombolezo ya kifo chake watu 45 walipoteza maisha pale uwanja wa Mkapa.. na nchi nzima ilimulilia isipokuwa mafisadi .. hii inadhihirisha ni jinsi gani aligusa wananchi wake..nashindwa kupata picha huyu Kahaba wenu akitwaliwa ataombolezwa na nani ?
Chuki ni hisi na hisia huwa na sababu zake, huwezi kusema tu mie namchukia shetani kisa tu shetani ni adui kiimani.
Walioumizwa na utawala wa JPM ni majizi,wauza unga na wanaoishi kxa ujanja ujanja.. kwenye maombolezo ya kifo chake watu 45 walipoteza maisha pale uwanja wa Mkapa.. na nchi nzima ilimulilia isipokuwa mafisadi .. hii inadhihirisha ni jinsi gani aligusa wananchi wake..nashindwa kupata picha huyu Kahaba wenu akitwaliwa ataombolezwa na nani ?
Hebu andika vizuri nikuelewe kilamba mav wa Mama !Yaani wake waliokufa kwa kujilazimisha kuwa Raisi bila kachaguliwa Hao ni majixi , na wauza unga ? , Inabidi upelenwe Mirembekwa akili hiyo
Which trophy?He didn't know .
Okay also SSH , she will never win this trophy.
Sijui maana ya uongozi ila magufuri alikuwa the best leader everThere is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Inabidi ukawahi cheti mirembeVjana waliumizwa sana mana for five years hakuna ajira serikalini wala private sector
Mirembe inakusubiriHebu andika vizuri nikuelewe kilamba mav wa Mama !
sikuhizi kuna mpaka ChatGPT, ukiiuliza inakuelekeza namna ya kuandika kiingereza fasaha kuepuka fedheha ndogo ndogo kama hizi. Tukirudi kwenye mada, JPM was the right president at the right time for Tanzania, the rest is bullshit.There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Ninayo dini.Kwani kiimani wewe huna dini?
Dini gani?Ninayo dini.