Activation link utumishi portal

Afande Nyati

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,385
1,413
Habari za majukumu wakuu.

Nimejaribu kufungua account utumishi portal toka jana ila kwenye activation link imekuwa shida, mpaka sasa hawajatuma email ya ku activate kwenye email yangu. Sasa huwa ni mpaka siku za kazi au server inakuwa na matatizo.

Naamini humu kuna wajuzi watanipatia ufumbuzi wa hili jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom