tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 19,972
- 25,215
Wakuu msaada wa mawazo,kila nikijaribu kufungua account Ajira portal naambiwa Temporarily Locked Out. Try again later.
Sasa nashindwa kuelewa ni nini shida?
Hatua zote nimezifuata kwa makini katika kujiunga na nikatumiwa Email kuwa Please click this link to Activate your account. Nikafanya hivo haifunguki bali inaniletea namba na herufi niingize tena.Lakini hata nikifanya hivyo inagoma.
Option zote nimejaribu inagoma, sijui nini cha kufanya baada ya hapo. Mawazo yenu please.
Asanteni.