Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
bora wewe unapigiwa simu unaambiwa form imepotea na vitu kama hivyo mimi sipati taarifa yoyote yaani wanappiga kimya tu as if sikupeleka mamombi na kujaz 4mhawakuipitisha hiyo form, kuna uzembe wa hali ya juu unafanyika. Nilijaza ikapita week nikatuma taarifa ya tatizo langu support wakaomba detail zangu nikawapa haikupita mda nikapigiwa simu na tawi, kule wanasema wamepoteza fom so i had to fill it out again but again it wasnt activated nikaenda pale Mcity and the card was activated in 10mins hazikupita hata 30mins nikapata text that my card has been enabled for online shopping.