Activating visa card on CRDB bank website..

chuma_cha_pua

Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
24
Reaction score
12
Wadau msaada wa ku activate card yangu ya visa kwenye website ya crdb,baada ya kuangaika sana kufuatilia waiactivate ili niweze ku purchase vitu online,hatimaye wamenitumia txt kuwa naweza shop online ila natakiwa kui activate kwenye web yao,yaani nimetafuta mahali pa ku activate lakini sijaona,msaada wenu plz.
 
Mkuu nijuavyo mimi ni kwamba baada ya kwenda CRDB na kupewa form maalum kwaajili ya kuactivate card yako iweze kufanya manunuzi online, wao ndio wataiactivate then watakujulisha, baada ya hapo unaanza manunuzi

Shop online
 
sio sahihi kwa namna fulani ukisemacho
mm nilianzisha uzi fulani wa verified by VISA Passwd watu wakanishauri hili na lile lkn mwisho wa siku Card yangu ilifungwa na leo haijawai funguliwa nanilifunguliwa case ya criminal suspect wakati nilikuwa na vithibitisho kuwa ni card yangu
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...password.html?highlight=Verfied+VISA+Password

In short VISA card lazima ukaiactivate kwenye VISA Verfied website ambayo CRDB wameweka mlango wake kwenye web yao
Secure Code/Verified By Visa
 
Wadau msaada wa ku activate card yangu ya visa kwenye website ya crdb,baada ya kuangaika sana kufuatilia waiactivate ili niweze ku purchase vitu online,hatimaye wamenitumia txt kuwa naweza shop online ila natakiwa kui activate kwenye web yao,yaani nimetafuta mahali pa ku activate lakini sijaona,msaada wenu plz.

Kwa nn hukuomba Mastercard?
in short nenda www.crdbank.com>security help>Secure Code/Verfied by VISA
Au angalia direct link niliyompa huyu jamaa Paul S.S
Secure Code/Verified By Visa

Na hiyo Code ukiipoteza shauri yako kila ukitaka kufanya Purchase out PayPal lazima wakuombe sijajua kama ni transaction zote au ni zile za greater 300$
In short mm nilipoteza mpaka sasa nina Criminal suspect pale CRDB nilipigiwa simu nikawafuata wakaniweka kwenye "kanyampasira" na waleo haijafunguliwa hiyo card walau hata kutoa hela ATM

Ukiona umekuwa na mashaka piga customer care
SHARING IS CARING
 
Asante sana kaka...
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    65.3 KB · Views: 732
kwa experience yangu crdb katika masuala ya online purchasing wako nyuma sana,natumia master card toka nimejaza form sasa karibia mwezi wa 4 kila nikeinda wananiambia this week nitaanza kutumia online mpk nimechoka kufuatilia nina mpango nihamie nbc niwe nafanya online purchasing otherwise crdb wabadilike katika hili.
 
hawakuipitisha hiyo form, kuna uzembe wa hali ya juu unafanyika. Nilijaza ikapita week nikatuma taarifa ya tatizo langu support wakaomba detail zangu nikawapa haikupita mda nikapigiwa simu na tawi, kule wanasema wamepoteza fom so i had to fill it out again but again it wasnt activated nikaenda pale Mcity and the card was activated in 10mins hazikupita hata 30mins nikapata text that my card has been enabled for online shopping.
 
Kwa nn hukuomba Mastercard?
in short nenda www.crdbank.com>security help>Secure Code/Verfied by VISA
Au angalia direct link niliyompa huyu jamaa Paul S.S
Secure Code/Verified By Visa

Na hiyo Code ukiipoteza shauri yako kila ukitaka kufanya Purchase out PayPal lazima wakuombe sijajua kama ni transaction zote au ni zile za greater 300$
In short mm nilipoteza mpaka sasa nina Criminal suspect pale CRDB nilipigiwa simu nikawafuata wakaniweka kwenye "kanyampasira" na waleo haijafunguliwa hiyo card walau hata kutoa hela ATM

Ukiona umekuwa na mashaka piga customer care
SHARING IS CARING

Mkuu kwani ukiwa na Master Card ya CRDB Bank unaweza kuiactivate online ili niweze kufanya manunuzi online? Mimi zamani nilikuwa natumia VISA kufanya manunuzi online ambayo ime expire mwezi uliopita na sasa nimeomba Master Card.
 
Ukiwa na Master Card unafanya purchase online kawaida lkn activation sio kwamba unaifanya mwenyewe Online bali unajaza form kawaida lkn hii Issue ya Verified by VISA au MASTERCARD Secure Code mm mastercard haijafanyiwa hiyo process ndo maana nikamwambia huyu jamaa angeomba Master card.Maana My previous VISA card nilipokuwa nafanya Purchase OUT OF paypal ilikuwa inaniomba Password ambayo mm sikuijua pamoja kuwa nili-activate mwenyewe kwenye CRDB bank web>secure code.

Pia kitu nilichoki-notice ni kwamba mm nilijaza form ya ku enable hii service lkn mpaka leo hawajanijibu lkn jana nimechukua initiative ya kulink card ya pili kwenye Paypal na ikakubali...sasa sijajua kama ukiwa na Master card automatically unakuwa enabled?
 
kwa experience yangu crdb katika masuala ya online purchasing wako nyuma sana,natumia master card toka nimejaza form sasa karibia mwezi wa 4 kila nikeinda wananiambia this week nitaanza kutumia online mpk nimechoka kufuatilia nina mpango nihamie nbc niwe nafanya online purchasing otherwise crdb wabadilike katika hili.

Mwenyewe baada ya card ya kwanza ku-blockiwa nimeomba card nyingine na after 2weeks wakanipa na hapo hapo nikajaza form wakanambia watanitumia meseji ikiwa tayari lkn week imekata jana na nimewapigia Customer care wakasema form yangu haikupelekwa kitengo husika hivo niipe mda ili iwe linked nikaona hawa jamaa wazinguaji nilichofanya nikufanya majaribio kulink card na PayPal na suprising ikatick wakati wanadai haijawa enabled...Hawajielewi hawa jamaa
 
Kwa nn hukuomba Mastercard?
in short nenda www.crdbank.com>security help>Secure Code/Verfied by VISA
Au angalia direct link niliyompa huyu jamaa Paul S.S
Secure Code/Verified By Visa

Na hiyo Code ukiipoteza shauri yako kila ukitaka kufanya Purchase out PayPal lazima wakuombe sijajua kama ni transaction zote au ni zile za greater 300$
In short mm nilipoteza mpaka sasa nina Criminal suspect pale CRDB nilipigiwa simu nikawafuata wakaniweka kwenye "kanyampasira" na waleo haijafunguliwa hiyo card walau hata kutoa hela ATM

Ukiona umekuwa na mashaka piga customer care
SHARING IS CARING

mkuu naomba kujua...kwani master card ili kufanya manunuzi online ni lazima ujisajili??
 
kwa experience yangu crdb katika masuala ya online purchasing wako nyuma sana,natumia master card toka nimejaza form sasa karibia mwezi wa 4 kila nikeinda wananiambia this week nitaanza kutumia online mpk nimechoka kufuatilia nina mpango nihamie nbc niwe nafanya online purchasing otherwise crdb wabadilike katika hili.

NBC hawana huduma kama hiyo!!!! Jaribu exim baank
 
Kadi za NBC wanayo hyo huduma. Kama unayo master card unajisajili paypal bila tatizo lolote. Ukishamaliza unafuata bank statement ili kupata zile code znazotoka paypal. Mimi nilifika tawini kuulizia ila yule customer cara akanambia hyo huduma haipo. Nikaamua kuga cmu huduma kwa wateja wakanambia kama ninayo master card haina haja ya kujaza fomu. Wengi wa customer care hawajui hii coz kadi zmewezeshwa moja kwa moja.
 
mkuu naomba kujua...kwani master card ili kufanya manunuzi online ni lazima ujisajili??

swali lako aliko clear lkn in short utaratibu wa benk nyingi lazima ujisajiri/kujaza formu ya maombi lkn benk kama UBA hamna kujaza ile formu ya maombi ni automatically iko enabled.
Sijajua kama master card ziko enabled automatically au la sababu yangu wanadai hawaja-enable lkn nimelink ikakubali bila shida na nimefanya transaction mbili mpaka sasa online

kama uliongelea kujisajili kwenye VISA Verified website basi hiyo sio lazima na inategemea na utaratibu wa benki....iwapo CRDB watakutumia mesej inasema inabidi ku-activate inabidi kufanya hivo lazima ufanye hivo lkn sio ya muhimu maana hiyo inaprotect card yako tu ukiwa unafanya payment out of PayPal
 
Kadi za NBC wanayo hyo huduma. Kama unayo master card unajisajili paypal bila tatizo lolote. Ukishamaliza unafuata bank statement ili kupata zile code znazotoka paypal. Mimi nilifika tawini kuulizia ila yule customer cara akanambia hyo huduma haipo. Nikaamua kuga cmu huduma kwa wateja wakanambia kama ninayo master card haina haja ya kujaza fomu. Wengi wa customer care hawajui hii coz kadi zmewezeshwa moja kwa moja.

Wacha mkuu!!! Eleza vizuri! nilishaenda sana customer care wakaniambia hakuna huduma hiyo!!!
 
Kama una kadi yako ingia ktk paypal ucheki. Hata mimi walinambia hawana hyo huduma. Ila niliwapgia customer care wakanambia haina haja ya kujaza fomu. Mi nijiunga na paypal kwa ku2mia kadi ya NBC ambayo ni master card. Vle vle kabla cjawacliana na huduma kwa wateja nilshawa2miaga email, nilpoona wamechelewa kujibu ndipo nilipoamua kuwapia. Na hata email. Ilipokuja walisema haina haja ya kujaza fomu. Kama unayo hyo kadi ingia paypal alafu urud ulete majibu.
 
Offcourse imekubali hiyo verification code unaipataje
 
Nenda Nbc, ktk bank statement utaona hyo transaction ya paypal. Hapo kuna 4 digits utazikuta. Baada ya kuchukua hzo digits utakwenda ktk paypal kisha utaziweka hzo verification code na ku accept. Mpaka hapo utakuwa tayar kuanza manunuz kwa njia hyo na hela ambayo wamekata paypal watakurudishia
 
Back
Top Bottom