Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,481
- 14,844
Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine.
"Chama kimenielekeza nikwambie kwamba kwenye rasilimali ya gari tunashukuru tupo vizuri tunaomba litumike kwa matumizi mengine lakini ulinzi tupo tayari"
Ombi hilo limetolewa wakati Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina alipokuwa akirejesha fomu za uteuzi kwenye ofisi za Tume leo Septemba 13, 2025