Ni muhimu kufanya massive mobilization against oppressors. This is the time. We are at the tolerance limit.
Hana uwezo wa kufuta ACT-wazalendo,hii ni tishia nyau baada ya CUF kufa rasmi.
Looks like they were caught off guard by Maalim Seif
Watz hawataki kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache. Kumbuka Pemba waliuwawa na wengine wakakimbilia shimoni Mombasa lakini baadae Seif akapewa cheo na SMZ akatulia tuliiii na hajawahi kusema popote hata alipokuwa kwenye serikali ya maridhiano ya SMZ wakati ndugu wa waathirika wanasota tu.Ni kweli tz hatuna watu wenye uwezo wa kuandamana. Ila tuna watu WAOGA NA WANAFKI. And that is the truth.
Sent using Jamii Forums mobile app
Where are you? Are you in Tanzania or you are just dreaming out of TZ?
Hakuna machafuko yoyote maana Watanzania waoga sana.Ajaribu kuifuta huo ndo utakua mwanzo wa machafuko.
I am in tanzania. I am tanzanian loyal and commited. And i dont dream.. i doWhere are you? Are you in Tanzania or you are just dreaming out of TZ?
Lol man usi act as if tz ndio itakuwa nchi ya kwanza kuandamana. Kuandama si vurugu.. kuna maandamano ya amani. Kama ya kule algeria kupinga rais Abdelaziz Bouteflika kugombea tena.Watz hawataki kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache. Kumbuka Pemba waliuwawa na wengine wakakimbilia shimoni Mombasa lakini baadae Seif akapewa cheo na SMZ akatulia tuliiii na hajawahi kusema popote hata alipokuwa kwenye serikali ya maridhiano ya SMZ wakati ndugu wa waathirika wanasota tu.
Wasilisheni hesabu za fedha za 2013/2014, Acheni kupotosha umma. Hiyo barua inajieleza vyema, hoja kwa hoja. Mnaleta vioja badala ya kujibu hoja. 1. Hesabu 2. Udini.
kwani Zitto alishawhi kumpinga Lissu? au umekosa cha kuandika?Sasa wanasema watafuta chama chenu au cha wapigania haki wote including everybody who is class conscious. Alikuwa anakidharauACT kama chama kidogo kisichokuwa na athali, sasa nguvu ya Maalim Seif imewatisha, wamekuja kwako. Nadhani sasa utamuunga mkono sana Tundu Lisu. Utaona umuhimu wa haya anayoyasema ughaibuni! Utaona risasi 16/38 zinakuja kwako (Mungu epusha kwa mbali)
"An Injustice anywhere is a threat to injustice everywhere" as quoted by Tundu Lisu from Martin Luther King jr, 1963.
Zitto ni mmoja wao.
Wanachofanya ni danganya toto. Kuwaonesha wapo na ninyi kumbe sio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapatapo kuona mijitu mihasidi na roho mbaya kama jiwe na mtungi, yaani watu wako na furaha zao,wao tayari roho zinawatoka,Hasbiyallah,naona hawa viumbe wana damu ya firauni hawa si bure. Tanzania imekuwa ni nchi yenye watu wasio na furaha kumbe sababu ni hawa maluuni,wakiona watu wanafuraha ,wao tayari roho zinawatoka,Allah azidi kuwatia dhiki kwenye nafsi zenu za uhasidi muanguke kwa laana zenu mulozitengeza kwa mikono yenu,laanatullah.Chama cha ACT WAZALENDO, kimepewa Siku 14 kijieleze kwanini kisifutiwe uanachama wake wa kudumu kutokana na kitendo chake cha kuendana kinyume na matakwa ya sheria ya usajili wa vyama vya siasa nchini.
Miongoni mwa mambo yanayokiweka hatarini chama hicho ni pamoja na kushindwa kuwasilisha kwa msajili wa vyama vya siasa hesabu zilizokaguliwa za chama hicho za mwaka 2014 sambamba na kitendo cha uvunjifu wa amani wa wanachama na viongozi wa chama hicho kukihusisha na masuala ya imani ya dini ya kiislam tofauti na taratibu na sheria za nchi.
View attachment 1053917
View attachment 1053918
Jiwe ndio dhaifu nashangaa mbona watangulizi wake hawakua na woga wa kisiasa kama huu!!!CCM ni chama dhaifu sana !
kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika TETESI hizi si za kweli na zinalenga kupata likes na comments nyingi sana kwakuwa zinagusa feelings na chuki za watu
Kwakuwa msajiri hana tatizo na sababu ya kukifuta chama cha ACT naomba tetesi hizi kwa wenye akili wazipuuzie
Ni aibu sana ! nimesikia mahali polisi wakitamba kwamba bila wao hawezi kuongoza hata wiki 1 tu !Jiwe ndio dhaifu nashangaa mbona watangulizi wake hawakua na woga wa kisiasa kama huu!!!
Kusema kweli ni makosa kuchoma bendera ya chama hata kama umekihama, ni mali ya chama hata kama uliinunua kwa pesa zako. Itokee mtu toka taifa jingine achome bendera ya nchi yetu (Tz) kama tutamnyamazia! Hoja zinawataka wajieleze kwa mjibu wa sheria. Kuliacha jambo hili bila kulishughulikia kwa dhati tutaja mulaum msajili. Fikiri kama wafuasi watiifu kwa Lipumba wangepinga kwa nguvu kitendo cha kuchoma bendera yao nini kingetokea?Msajili kambeba Lipumba imeshindikana wameona CUF haina nguvu tena kaamia ACT-Wazalendo kwa kuogopa nguvu iliyopatikana siku chache baada ya kuungana na Maalimu Seif...haya mazingira anayoteyatengeneza msajili kuna siku watajilaumu na itakua wamechelewa kurudisha hali ilivyokua...