Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,587
- 9,173
Sababu ni kumpokea rais wa ZanzibarKwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, tayari chama cha ACT wazalendo, kimepelekewa barua na msajili ya kusudio la kukifuta chama cha hicho muda mfupi uliopita. Sababu za kupewa tishio hilo bado hazijabainika....
Sent using Jamii Forums mobile app